Kununua Gari kutoka UK

Kununua Gari kutoka UK

joramjason

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2011
Posts
425
Reaction score
132
Jamani naomba msaada aliyewahi nunua gari toka uingereza kuna gari nimeiona zoomtanzania na katika kuwasiliana nikakutana na mtu anaitwa Stefan Gleixner kutoka Steff investment je kuna mtu ashawahi watumia hao naombeni msaada tafadhari
 
search hiyo kampuni kama iko na kama inahusika na any fraud. Search kwenye google!
 
Aaa aaa hawa Serengeti ni matapeli wakubwa! Usiwajaribu hata kidogo utajuta!

mkuu sio wewe tu nimeisikia kwako ni watu kibao wanasema kuwa ni matapeli sana na kuna kiongozi alikuja humu kutafuta mtu wa kufanya nae kazi na nikacomment kuwa watu wanaisema vibaya tena ni mitaani kwa vijana ambao wametuma mizigo yao kupitia hiyo kampuni mimi mwenyewe sijathibitisha maana sijatuma mizigo ila kuna mtu kabisa alituma mzigo haukufika kama ilivyotakiwa ukiwapigia simu hawajali, jamani,nilifikiri tumepata mkombozi hata sisi tuliopo mtwara tuweze kuenjoy vitu vya uk maana anaetusafirishia ni mtz mwenzetu kumbe ndio wa kumuogopa? tutaaminiana lini jamani? inasikitisha kama wanatabia hiyo mbofu mbofu
 
Kama unataka kutapeliwa watumie hawa jamaa, ni bora ujue kabisa Ukweli ili ufanye maamuzi kwa uhakika.
Ndugu zanguni,

Mbona mnaingiza siasa kwenye biashara,?

Mimi ni mkurugenzi mtendaji wa Serengeti na ninakuomba kama una ushahidi wa yoyote unayosema dhidi yetu uyaweke hapa hadharani

Sisi kuwa kampuni ya usafirishaji tutakutapeli vipi? kwania sisi ndio tunaokuuzia hilo gari?
Pia sio kujisifu au dharau lakini ningependa kukujulisha kuwa hatuna njaa kiasi hicho jamaa yangu.
Mimi nadhani ni wivu tu unaowafanya baadhi ya ma mbulumundu kuandika maneno machafu dhidi yetu.
Siasa isiwe chanzo cha kuchukiana . Igeni mfano kutoka kwa watu kama Ndesamburo, pamoja na kuwa nimehama chama chake juzi tu katupatia biashara kubwa sana ambayo hata kama tukikaa mwaka mzima bila kufungua ofisi hatuta athirika

Kwa anayetaka kuwasiliana nasi tafadhali pitia website yetu hapa chini
www.-serengetifreight-.-co.-uk
serengetioffice.jpg

USA_Clothing_01.144105207_std.JPG
[I
Mimi nimeweka web, na picha za ofisi zetu hapa naomba hao waliokutuma utuite matapeli nao waweke picha za ofisi zao hapa
Sisi ni wajasiria mali na ni mfano wa kuigwa
 
www.sengetifreight.co.uk
serengetioffice.jpg

USA_Clothing_01.144105207_std.JPG
[I
Mimi nimeweka web, na picha za ofisi zetu hapa naomba hao waliokutuma utuite matapeli nao waweke picha za ofisi zao hapa
Sisi ni wajasiria mali na ni mfano wa kuigwa

web address ni www.sengetifreight.co.uk or serengetifreight.co.uk ? Nahisi kuna mapungufu kwenye web uliyoiandika jf...umakini ni muhimu kwenye business.

Pili tuweke siasa kando: Nakuunga mkono sana kwa ubunifu wako wa kuanzisha hii kampuni, lakini Hili suala la utapeli kama kweli linafanyika kwenye kampuni yako bora ulifanyie kazi haraka ili kurudisha imani kwa wateja wa zamani na wapya ambayo wanatamani kutumia kampuni yako lakini wanaogopa kutapeliwa. Ukichukulia sasa unatumika na CCM ndio kabisa wanazidi kukuogopa kwamba ukiwatapeli CCM na serikali yake itakulinda kwa nguvu zote,means haki haitatendeka. Natumaini maoni yangu utayachukulia kibiashara zaidi na sio kisiasa.
 
Mkuu kila mtu ana haki ya kutumia mdomo wake atakavyo.
Hata siku moja adui hawezi kutusifia.
Ningewaomba hao wanaotuita matapeli waje hapa kueleza wametapeliwa ninbi sio kupiga majungu tu.
 
tatizo tunapowapigia simu kuulizia flow ya mali zetu hata hamjali, badilikeni bana!
 
Mkuu kila mtu ana haki ya kutumia mdomo wake atakavyo.
Hata siku moja adui hawezi kutusifia.
Ningewaomba hao wanaotuita matapeli waje hapa kueleza wametapeliwa ninbi sio kupiga majungu tu.

Kiongozi hawa pimbi wasikumize kichwa. Maneno ya wakosaji wenye njaa tu! Nimesha nunua gari 9 from autotrader.co.uk na serengeti ndo shipping agent wangu. Bila tatizo lolote! Hao waongeaji pumba tuu...
 
Back
Top Bottom