Kununua gari toka Japan kwa kuangalia low milleage ni wrong.

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2013
Posts
8,130
Reaction score
8,362
Tena very wrong.
Wataalamu wanasema ni bora ununua gari yenye high milleage kutokana na sababu zifuatazo:
1. Gari yenye low milleage its obvious ilikua inaendesha mjini (town routes) hivyo kuwasha na kuzima kunafanyika mara nyingi sana.
2. Kuwasha na kuzima kuna hitaji mtu anayefaham au mwenye skills za kutosha kuhusu magari. Wengi huwasha na kuondoa gari bila kuacha gari kustabilize au kuattain the correct temperature na hata vilainishi kufika katika sehem zinazohitajika kwa kiasi kinachotakiwa.
3. Kuendesha gari bila vilainishi kufika sehem zinazotakiwa kwa kiwango kinachotosha kinaweza sababisha vyuma kusagika hasa kwenye gear box na engine na hivyo ubovu wa gari.
4. Kuna uwezekano mkubwa na kupata ajali hasa kwa magari yenayoendeshwa mjini kuliko yale yanayoendeshwa in high ways au long routes kutokana na jams na mambo mengine..
5. Mambo ya packing mtu anayeendesha gari mjini ana posibility kubwa ya kugongesha au hata kuscratch gari wakati wa kupack gari yake, chukukia mtu anayefanya kazi kariakoo.
Ntaendelea....
 
You are very wrong my friend. Sababu ulizotoa hazina mashiko. Hapo zipo kwenye inawezekana...
mkuu zingatia nachokuambia..hayo ni maoni ya wataalamu
 
Wataalamu wa magari njooni huku kuna mtusaidie
 
Tena very wrong.
Wataalamu wanasema ni bora ununua gari yenye high milleage kutokana na sababu zifuatazo:
1. Gari yenye low milleage its obvious ilikua inaendesha mjini (town routes) hivyo kuwasha na kuzima kunafanyika mara nyingi sana.
2. Kuwasha na kuzima kuna hitaji mtu anayefaham au mwenye skills za kutosha kuhusu magari. Wengi huwasha na kuondoa gari bila kuacha gari kustabilize au kuattain the correct temperature na hata vilainishi kufika katika sehem zinazohitajika kwa kiasi kinachotakiwa.
3. Kuendesha gari bila vilainishi kufika sehem zinazotakiwa kwa kiwango kinachotosha kinaweza sababisha vyuma kusagika hasa kwenye gear box na engine na hivyo ubovu wa gari.
4. Kuna uwezekano mkubwa na kupata ajali hasa kwa magari yenayoendeshwa mjini kuliko yale yanayoendeshwa in high ways au long routes kutokana na jams na mambo mengine..
Ntaendelea....
Sababu zako hazina mashiko mkuu.
 
Siamini sana kwenye hilo mkuu hata gari zinazotembea kwenye highways zina changamoto hizo
ni chache kuliko ya high ways...ntu nakaa upanga anafanya kazi kariakoo..unategenea anawasha gari na kuzima mara ngapi..nanje atakua tayari kusubiri gari iatain the required stabilization kabla hajaondoka, atafungua na kufunga mkanda wa gari mara ngapi..atatafuta parking mara ngapi na kusababisha ascratch gari kwenye kuta, kingo za barabara n.k
 
Tena very wrong.
Wataalamu wanasema ni bora ununua gari yenye high milleage kutokana na sababu zifuatazo:
1. Gari yenye low milleage its obvious ilikua inaendesha mjini (town routes) hivyo kuwasha na kuzima kunafanyika mara nyingi sana.
2. Kuwasha na kuzima kuna hitaji mtu anayefaham au mwenye skills za kutosha kuhusu magari. Wengi huwasha na kuondoa gari bila kuacha gari kustabilize au kuattain the correct temperature na hata vilainishi kufika katika sehem zinazohitajika kwa kiasi kinachotakiwa.
3. Kuendesha gari bila vilainishi kufika sehem zinazotakiwa kwa kiwango kinachotosha kinaweza sababisha vyuma kusagika hasa kwenye gear box na engine na hivyo ubovu wa gari.
4. Kuna uwezekano mkubwa na kupata ajali hasa kwa magari yenayoendeshwa mjini kuliko yale yanayoendeshwa in high ways au long routes kutokana na jams na mambo mengine..
Ntaendelea....
Gari ya low-mileage siku zote ni bora kuliko ya high-mileage. Kuwasha na kuzima gari hakuathiri wear and tear, depreciation in value au ubora wa wa gari kiujumla. Unaweza kuwa na gari jipya lenye zero miles lime park ukaliwasha na kulizima kila siku hata mara 20, na betri ikifa ukaweka mpya, na kubadilisha fluids on a more or less regular basis. Lkn ukija kuliuza utapata bei ya juu maradufu kuliko gari highway miles kwa kipindi hichohicho.
 
Gari ya low-mileage siku zote ni bora kuliko ya high-mileage. Kuwasha na kuzima gari hakuathiri wear and tear au uborwa wa gari kiujumla. Unaweza kuwa na gari jipya lenye zero miles lime park ukaliwasha na kulizima kila siku hata mara 20, na betri ikifa ukaweka mpya. Lkn ukija kuliuza utapata bei ya juu maradufu kuliko gari highway miles kwa kipindi hichohicho.
mkuu kuwasha na kuzima gari mara kwa mara kunaweza sababisha gari yako kuchoka..starter huwa zinaharibika.. Vyuma vinasagika iwapo utaliondoa gari bika kusubiri stabikization
 
hii ya kuwasha gari na kuondoka kabla "stabilaizesheni" haijafikiwa inahusiana vipi na gari kuwa mjini au highway mkuu? nadhani inahusika na ufahamu/skills za dereva husika
 
Tena very wrong.
Wataalamu wanasema ni bora ununua gari yenye high milleage kutokana na sababu zifuatazo:
1. Gari yenye low milleage its obvious ilikua inaendesha mjini (town routes) hivyo kuwasha na kuzima kunafanyika mara nyingi sana.
2. Kuwasha na kuzima kuna hitaji mtu anayefaham au mwenye skills za kutosha kuhusu magari. Wengi huwasha na kuondoa gari bila kuacha gari kustabilize au kuattain the correct temperature na hata vilainishi kufika katika sehem zinazohitajika kwa kiasi kinachotakiwa.
3. Kuendesha gari bila vilainishi kufika sehem zinazotakiwa kwa kiwango kinachotosha kinaweza sababisha vyuma kusagika hasa kwenye gear box na engine na hivyo ubovu wa gari.
4. Kuna uwezekano mkubwa na kupata ajali hasa kwa magari yenayoendeshwa mjini kuliko yale yanayoendeshwa in high ways au long routes kutokana na jams na mambo mengine..
5. Mambo ya packing mtu anayeendesha gari mjini ana posibility kubwa ya kugongesha au hata kuscratch gari wakati wa kupack gari yake, chukukia mtu anayefanya kazi kariakoo.
Ntaendelea....
Mfano wako ni sawa sawa na kumshauri mwanaume kutafuta mwanamke mzee kwa kutofuata kigezo cha umri eti kwa kuwa mabinti wadogo nyege zao zipo juu juu hivyo basi watakuwa wanahitaji kutiwa mara kwa mara na hivyo kuchoka haraka tofauti na mzee anayetiwa mara moja kwa wiki.Jaribu kufanya hivyo hata kwa mkeo kama una miaka 25 tafuta wa miaka 45 arafu tutafutane siku ukifikisha miaka 45 citaki kujua mkeo atakuwa na miaka mingapi...gari asikudanganye mtu mileage ni muhimu saana wewe utakuwa muuza magari na yamekudodea yard
 
Huwa wanarudisha mileage nyuma gari iiokane haijatumika sana
 
mkuu kuwasha na kuzima gari mara kwa mara kunaweza sababisha gari yako kuchoka..starter huwa zinaharibika.. Vyuma vinasagika iwapo utaliondoa gari bika kusubiri stabikization
Mr Mtui una tatizo gani lakini??
Hoja zako ni dhaifu mnoo. Kwa mfano hoja ya kugongesha, kugongesha gari ni jambo linaloweza kutokea mahali popote maana hata hayo magari ya highway yanaingia mijini.

Magari ya mjini yana probability ndogo ya kupata ajari kubwa kama ya highway.

Halafu namna jinsi wenzetu wanavyotunza magari ni tofauti na kwetu, yaani wako makini kuliko sisi, sasa wewe na wataalam wako mnachukua mifano kutoka BUZA ndo mnajenga taswira ya huko kwa wenzetu. Mfano wewe ukipewa gari jipya kwa route za Dar in ten years gari litakuwa na hali isiyolingana na na akipewa mwenzako mmoja kule Japan.

Sisi tuna tabia ya uharibifu.

HOJA ZAKO NI DHAIFU
 
Back
Top Bottom