Maelezo yako siyo kweli ukinunua gari ukakuta ina km mfano 150000 na nyingine 75000 elewa hiyo ya 150000 imetumika sana kuliko hiyo nyingine na kuzima na kuwasha gari maranyingi sana hakuathiri engine kinachoathirika ni starter ndani kuna carbon brushes starter coil na bendex hivyo ndivyo vinachoka mapema na ukibadili starter complete uwakaji unakuwa mzuri
Tena very wrong.
Wataalamu wanasema ni bora ununua gari yenye high milleage kutokana na sababu zifuatazo:
1. Gari yenye low milleage its obvious ilikua inaendesha mjini (town routes) hivyo kuwasha na kuzima kunafanyika mara nyingi sana.
2. Kuwasha na kuzima kuna hitaji mtu anayefaham au mwenye skills za kutosha kuhusu magari. Wengi huwasha na kuondoa gari bila kuacha gari kustabilize au kuattain the correct temperature na hata vilainishi kufika katika sehem zinazohitajika kwa kiasi kinachotakiwa.
3. Kuendesha gari bila vilainishi kufika sehem zinazotakiwa kwa kiwango kinachotosha kinaweza sababisha vyuma kusagika hasa kwenye gear box na engine na hivyo ubovu wa gari.
4. Kuna uwezekano mkubwa na kupata ajali hasa kwa magari yenayoendeshwa mjini kuliko yale yanayoendeshwa in high ways au long routes kutokana na jams na mambo mengine..
5. Mambo ya packing mtu anayeendesha gari mjini ana posibility kubwa ya kugongesha au hata kuscratch gari wakati wa kupack gari yake, chukukia mtu anayefanya kazi kariakoo.
Ntaendelea....