Kununua gari toka Japan kwa kuangalia low milleage ni wrong.

Kununua gari toka Japan kwa kuangalia low milleage ni wrong.

Naona kwa jicho la rohoni mjapana anatafuta chochoro ya kuuza migari yake yenye miles nyingi maana pakutupa hana na anajua Tz ni safe damp.
 
Jamaa umeyumba sana, hoja zako hazina logic! "DHAIFU!"
 
Mr Mtui kama ungejikita kwa uthibitisho kuwa mileage meter huwa zinachezewa ili ionekane gari imetumika kidogo ungetufikirisha wengi ila tofauti na hiyo ni NO
 
yaani hakuna hata mmoja aliyeunga mkono hii mada 😂
 
Mkuu jibu lako halina tofauti na lile la sare zipo kwenye container... unaambiwa wewe hujafata taratibu za kiununuzi..
 
Mr Mtui kama ungejikita kwa uthibitisho kuwa mileage meter huwa zinachezewa ili ionekane gari imetumika kidogo ungetufikirisha wengi ila tofauti na hiyo ni NO
Na hii ni sababu pia..sema watu wabishi
 
Tena very wrong.
Wataalamu wanasema ni bora ununua gari yenye high milleage kutokana na sababu zifuatazo:
1. Gari yenye low milleage its obvious ilikua inaendesha mjini (town routes) hivyo kuwasha na kuzima kunafanyika mara nyingi sana.
2. Kuwasha na kuzima kuna hitaji mtu anayefaham au mwenye skills za kutosha kuhusu magari. Wengi huwasha na kuondoa gari bila kuacha gari kustabilize au kuattain the correct temperature na hata vilainishi kufika katika sehem zinazohitajika kwa kiasi kinachotakiwa.
3. Kuendesha gari bila vilainishi kufika sehem zinazotakiwa kwa kiwango kinachotosha kinaweza sababisha vyuma kusagika hasa kwenye gear box na engine na hivyo ubovu wa gari.
4. Kuna uwezekano mkubwa na kupata ajali hasa kwa magari yenayoendeshwa mjini kuliko yale yanayoendeshwa in high ways au long routes kutokana na jams na mambo mengine..
5. Mambo ya packing mtu anayeendesha gari mjini ana posibility kubwa ya kugongesha au hata kuscratch gari wakati wa kupack gari yake, chukukia mtu anayefanya kazi kariakoo.
Ntaendelea....


Upo shallow sana kwenye tech mkuu...usipotoshe watu na hizo groundless points
 
Siamini sana kwenye hilo mkuu hata gari zinazotembea kwenye highways zina changamoto hizo
Hapana mkuu. Gari likiwa kwenye highway ni kama safe heaven. Mifumo mingi inafanya kazi kwa kutumia nguvu kidogo. Ndio maana hata ulaji wa mafuta unakuwa mzuri. Kuliko linapokuwa mjini.
 
Point ya msingi ninayoweza kusema hapo, umri wa gari uendani na mileage. Kwa wastani sio chini ya km 10,000 kwa mwaka. So ukikuta gari lenye umri mkubwa lina km chache, lazima ufanye uchunguzi zaidi kujiridhisha kwanini lina km chache. Ukiona ni sababu za msingi then ni bora zaidi kuliko lenye km nyingi.
 
mkuu kuwasha na kuzima gari mara kwa mara kunaweza sababisha gari yako kuchoka..starter huwa zinaharibika.. Vyuma vinasagika iwapo utaliondoa gari bika kusubiri stabikization
Mtui hii stabilization unayoizungumzia ni ipi hasa unazungumzia gari za carburetor au hizi za kisasa?au labda hiyo stabilization ni mimi ndio sijakuelewa.
 
Mleta uzi gari yenye mileage ndogo ni better than kinyume chake...wear and tear ya gari hasa haya ya kisasa kipaumbele ni injini parts nyingine ni replaceable unlike engine ambayo kupata best results like before inabidi u overhaul...kwa hiyo mtu anaenunua gari ya km chache ana advantages nyingi kumliko mwenzie wa mile nyingi...kumbuka kwa utamaduni wetu wa kuuziana magari ukinunua gari ya mile nyingi ile depreciated value kadri inavyokuwa juu ndivyo return value inavoshuka. Hivyo usihadaike.
 
mkuu zingatia nachokuambia..hayo ni maoni ya wataalamu
Hakuna mtaalam anayeweza kutoa ushauri kama huo!!!!! Kila gari/ingine ina life span yaani muda wa kuishi. Na huo muda unapimwa na milage!!!! Kwa mfano magari yote yenye ingine ndogo chini ya cc 1450, life span yake ni milage 150,000. Baada ya hapo siyo kwamba halitembei, bali vitu vingi kwenye ingine na sehemu nyingine vitahitaji replacement na matengenezo ya mara kwa mara. Sasa ukinunua IST yenye km 120,000, ujue una km 30,000 tu za kujidai baada ya hapo ni maumivu na mteja wa kudumu wa garage za mitaani. Itakuwa ni ajabu ukachagua kununua IST yenye km 120,000 ukaacha yenye km 60,000 eti "mtaalam" kashauri hivyo.
 
You are very wrong my friend. Sababu ulizotoa hazina mashiko. Hapo zipo kwenye inawezekana...
Onyesha kakosea wapi sio kusema amekosea na hauonyeshi ukweli Ni upi?
 
Yaani niagize gari ina kilomita 120,000+ mzee? Kweli? Hapana aisee.
 
Mtoa mada ....hoja zako nindhaifu sana....hazishawishi hata kidogo..

Pita pita hata google usome some....upo shallow sana kwenye mambo ya magari..

Nakutakia mavuno mema..[emoji112][emoji112][emoji112]
 
Back
Top Bottom