Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena very wrong.
Wataalamu wanasema ni bora ununua gari yenye high milleage kutokana na sababu zifuatazo:
1. Gari yenye low milleage its obvious ilikua inaendesha mjini (town routes) hivyo kuwasha na kuzima kunafanyika mara nyingi sana.
2. Kuwasha na kuzima kuna hitaji mtu anayefaham au mwenye skills za kutosha kuhusu magari. Wengi huwasha na kuondoa gari bila kuacha gari kustabilize au kuattain the correct temperature na hata vilainishi kufika katika sehem zinazohitajika kwa kiasi kinachotakiwa.
3. Kuendesha gari bila vilainishi kufika sehem zinazotakiwa kwa kiwango kinachotosha kinaweza sababisha vyuma kusagika hasa kwenye gear box na engine na hivyo ubovu wa gari.
4. Kuna uwezekano mkubwa na kupata ajali hasa kwa magari yenayoendeshwa mjini kuliko yale yanayoendeshwa in high ways au long routes kutokana na jams na mambo mengine..
5. Mambo ya packing mtu anayeendesha gari mjini ana posibility kubwa ya kugongesha au hata kuscratch gari wakati wa kupack gari yake, chukukia mtu anayefanya kazi kariakoo.
Ntaendelea....
Hapana mkuu. Gari likiwa kwenye highway ni kama safe heaven. Mifumo mingi inafanya kazi kwa kutumia nguvu kidogo. Ndio maana hata ulaji wa mafuta unakuwa mzuri. Kuliko linapokuwa mjini.Siamini sana kwenye hilo mkuu hata gari zinazotembea kwenye highways zina changamoto hizo
Mtui hii stabilization unayoizungumzia ni ipi hasa unazungumzia gari za carburetor au hizi za kisasa?au labda hiyo stabilization ni mimi ndio sijakuelewa.mkuu kuwasha na kuzima gari mara kwa mara kunaweza sababisha gari yako kuchoka..starter huwa zinaharibika.. Vyuma vinasagika iwapo utaliondoa gari bika kusubiri stabikization
Hakuna mtaalam anayeweza kutoa ushauri kama huo!!!!! Kila gari/ingine ina life span yaani muda wa kuishi. Na huo muda unapimwa na milage!!!! Kwa mfano magari yote yenye ingine ndogo chini ya cc 1450, life span yake ni milage 150,000. Baada ya hapo siyo kwamba halitembei, bali vitu vingi kwenye ingine na sehemu nyingine vitahitaji replacement na matengenezo ya mara kwa mara. Sasa ukinunua IST yenye km 120,000, ujue una km 30,000 tu za kujidai baada ya hapo ni maumivu na mteja wa kudumu wa garage za mitaani. Itakuwa ni ajabu ukachagua kununua IST yenye km 120,000 ukaacha yenye km 60,000 eti "mtaalam" kashauri hivyo.mkuu zingatia nachokuambia..hayo ni maoni ya wataalamu
Onyesha kakosea wapi sio kusema amekosea na hauonyeshi ukweli Ni upi?You are very wrong my friend. Sababu ulizotoa hazina mashiko. Hapo zipo kwenye inawezekana...