Kununua gari toka Japan kwa kuangalia low milleage ni wrong.

Hii ndio huitwa guesswork. Kwanza ni wataalam wapi hao na uchunguzi ulifanywa wapi. Ungalimaliza kusoma taarifa kuhusu urban/city driving ungalikua umeelewa ealivyosema na maana yao. Hii yako ni baseless innuendo!
 
mkuu kuwasha na kuzima gari mara kwa mara kunaweza sababisha gari yako kuchoka..starter huwa zinaharibika.. Vyuma vinasagika iwapo utaliondoa gari bika kusubiri stabikization
Kunaweza hvyo ni maon yako binafs?....hoja km hiz zinahitaji technical support kúliko hearsày
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…