Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 127
- 194
Wadau nimeona serikali ikipokea gawio la hisa za Nmb bank na CRDB bank hivi karibu kama billion 45 hivi wadau kwa anayejua haya maswala ya hisa za hizi bank mbili ningeomba anifafanulie kidogo na vijana tufaidi uwekezaji wa taifa letu japo najua muitikio utakuwa mdogo karibuni wadau kwa michango yenu.Niko kijijini sana huku mikoani