Gotze Giyani
Senior Member
- Feb 28, 2022
- 143
- 213
Nenda DSE.Wadau nimeona serikali ikipokea gawio la hisa za Nmb bank na CRDB bank hivi karibu kama billion 45 hivi wadau kwa anayejua haya maswala ya hisa za hizi bank mbili ningeomba anifafanulie kidogo na vijana tufaidi uwekezaji wa taifa letu japo najua muitikio utakuwa mdogo karibuni wadau kwa michango yenu.
Yupo uko vijijini namtumbo..Nenda DSE.
Ungesema hapa hapa kwa faida ya wote