Ni Tsh ngapi tuanzie hapo mkuuNimenunua LUKU. Mbali na hela ya LUKU, mtandao wa simu nilioutumia umeripoti kukata malipo ya kuutumia mtandao wao kununulia LUKU. Zamani walikuwa hawaonyeshi makato hayo. Huo mtandao utakuwa umeamua kuwa wawazi zaidi.
Una maanisha nini mkuu,hueleweki!Nimenunua LUKU. Mbali na hela ya LUKU, mtandao wa simu nilioutumia umeripoti kukata malipo ya kuutumia mtandao wao kununulia LUKU. Zamani walikuwa hawaonyeshi makato hayo. Huo mtandao utakuwa umeamua kuwa wawazi zaidi.
Mathalani, nataka LUKU ya elfu moja. Kwenye mtandao wa simu nina salio la waleti linalofikia alfu mbili. Kununua LUKU wameniambia wanachukua alfu ya LUKU, na kiasi kingine cha juu kama gharama ya kutumia laini yao ya simu kununulia LUKU.Una maanisha nini mkuu,hueleweki!
Asante kunielimisha... zamani walikuwa na mkataba na tanesco baadae tanesco walijitoa kwenye mitandao yote ya simu, hivyo ukinunua LUKU unakatwa asilimia fulani kulingana na UNIT (kWhr) unatakazo nunua, hii ni huduma tu ili kuepusha usumbufu kwa wateja wao (mitandao)..