Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Aloo mademu wa congo DRC wanajua kukatikia bwana ila ni wachawi balaa hivi unapajua Kasumbalesa ?
Wewe mwezi wa kwanza mwaka huu nilipita hapo ila yaliyonikuta sisahau hadi naingia kaburini. Nilikutana na demu mzuri Mwasi kitoko kama malaika kumbe ni mchawi na tapeli.
Baada ya maelewano ya kumla tunda kimasihara nikachukua geto nikamlipa pesa tukalala fresh nikala tunda ila naamka asubuhi nakuta madola yangu kwenye pochi hayapo, nililia kama mtoto baada ya kwenda kumtafuta nilimpata lakini alinikataa na alipiga kelele kuwa namuibia mimi ni mwizi. Bahati nzuri nilikimbilia kwenye nyumba ya mama mmoja hivi ndo nilipona la sivyo ningefia Kasumbalesa
Baadae polisi walikuja na kunibeba ila nilikuja kutolewa baada ya bosi zangu kusikia nipo polisi. Ilikuwa mwaka 2023 hiyo Bolingo esalaka pasi.