Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
KUNUNUA MALAYA NI SAWA NA FISI KULA MIZOGA AU SIMBA ALÍYEZEEKA KULA VIBUDU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Sio kila kiumbe kinapenda hekaheka, kutoana jasho, vipo viumbe hula mizoga kwa sababu kula mizoga haihitaji nguvu ñyingi wala jitihada kubwa.
Mzoga unapatikana kirahisi.
Fisi hupendelea kula mizoga au tuviite vibudu Labda sio kwa kupenda bali kutokana na maumbile yake yasiyo rafiki katika kuwinda wanyama. Sanasana fisi huvizia vitóto vya wanyama wengine au kuvizia wanyama wazee na wanaoumwa.
Kama sivyo basi kunyang'anya mawindo ya wanyama wengine.
Kununua MALAYA tena wale wa kujipanga tena kwa kujua ni hatua ya juu kabisa ya mwanaume kufilisika na yupo katika hali ya kufedheheka.
Niliwahi kusema hakunaga malaya mzuri kama vile ilivyo hakunaga mzoga mtamu.
Shida zinaweza kukufanya ukaona kíbudu ni kitamu lakini kiuhalisia sio.
Mwanaume mzee ni kama simba mzee ambaye kasi ya mawindo hupungua. Huyo haishangazi kukuta akila vibudu na kununua makahaba.
Lakini sio kwa kijana mdogo kati ya miaka 20- 45.
Ikiwa mkeo anakuñyima tendo kununua mizoga sio suluhu. Kwa mwanaume kweli ananjia mbili ya kutatua kesi kama hiyo.
Njia ya kwanza ni Kumpa talaka huyo mwanamke. Kama hiyo utaona inakuwa ngumu basi njia ya pili inakuhusu. Kuoa Mke wa pili au wa tatu kabisa.
Hakunaga Mwanamke anayeweza kumnyima chakula cha usiku mwanaume anayejitambua. Kwa sababu wanawake hujua nini kitatokea.
Acha nipumzike sasa.
Robért Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam