Kununua Malaya ni sawa na fisi kula mizoga au simba aliyezeeka kula Vibudu

chai
 
Bro! Naogopa kuandika hapa mtasema nawatukana wanawake! Mtasema sina adabu, mtaniuliza mimi nilipasuka kwenye jiwe!? Lakini ukweli ni kwamba kwa dunia ya sasa wanawake wote wako kibiashara! Hata hawa tuliowaoa! Ukichimba ndani sana utagundua kilichomuweka ndoani ni kipi!
 
Kuna msemo, ''Kila mwanamke anajiuza, utofauti ni kwenye bei na namna ya kujiuza''. Huenda huu msemo ni wa kweli.

Na kama huu msemo ni wa kweli, andiko la Mtibeli linakosa mantiki.
 
Kipi bora kati ya kuoa Malaya ukamuweka ndani au kumnunua na kuachana naye juu kwa juu?
 
Pumbavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…