morisiachuma
Member
- May 9, 2020
- 8
- 23
Habari ndugu zangu leo naomba nifahamu kulingana na hali ya hewa hasa uhaminifu katika ndoa umepungua siku hizi.
Sasa kivi ni salama kiuchumi na kiafya kwa mwanaume kati ya kununua ngono yaani ukiwa na hamu unamtafuta mdada mkali unamlipa ambapo bei zao ni kati ya elfu 5 hadi 20 baada ya hapo mnaachana kila mtu na maisha yake na ukitaka huduma tena unaanza upya.
Kwa upande wa mchepuko kwanza ukimtongoza tu anataka kodi ya nyumba, saruni, matatizo ya familia yake, chakula, matunzo nk.
Nawasilisha.