Mzee wa fact
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 246
- 228
Jombaa sisi tunajadili namna yakupunguza matumizi unashauri tuoe wawili tena
Suluhu hapo ni kuacha zinaa tu, na kama dini yako inaruhusu oa zaidi ya mmoja kulingana na kipato chako.
Huwezi kushindana na papuchi