Wale wanauza used halafu pale gharama za parcels kwa beforward ni kubwaWacheki beforward niliona kuna huduma hiyo
Yeah mambo ya readings za sensor tayari,na kuhusu Kenya Kuna kitu umeniongezea ambacho nilikuwa sifahamu gari ni Honda hivyo tulishawishika kuagiza Kenya maana kule ziko nyingi mnoMara nyingi spare zinazouzwa Kenya kama used kutoka Japan ndizo hizo hizo zinazorudi mtaani kwa wateja tofauti.
Ukiuza, mwingine ananunua, akinunua akiuza, mwingine anachukua.
Kabla ya kuagiza Japan, umehakikisha fundi ameshkuonyesha readings za sensor kwenye scanner kwanza
Basi tafuteni OEM mpya hata kama gharama ni kubwa kidogo.Yeah mambo ya readings za sensor tayari,na kuhusu Kenya Kuna kitu umeniongezea ambacho nilikuwa sifahamu gari ni Honda hivyo tulishawishika kuagiza Kenya maana kule ziko nyingi mno
Ndo kitu nachokitaka kipate reliable source ya kuagiza haya mambo ya used sitaki tenaBasi tafuteni OEM mpya hata kama gharama ni kubwa kidogo.
Ni bora ulipe kwa gharama kubwa mara moja kuliko kuendelea kulipa mara nyingi.
Watafute Amayama, wanauza genuine parts kwa part number kabisa.Ndo kitu nachokitaka kipate reliable source ya kuagiza haya mambo ya used sitaki tena
Oil pressure sensor? Fuel pressure sensor? Ya gari gani?Wadau wa jf yoyote mwenye ufahamu kuhusu website nzuri kutoka Japan nayoweza kununua spare parts (pressure sensor) kutoka Japan maana nimeishanunua used mara mbili kutoka Kenya zinafeli nataka nijaribu Sasa kununua mpya kutoka Japan mdau anejua njia nzuri zaidi ya kupata hako ka sensor from Japan direct
Boss ni ya Honda CR-V samahani nimechelewa kuona massage yako niko shamba network shida kidogoOil pressure sensor? Fuel pressure sensor? Ya gari gani?
Oil pressure sensor part number ni HP930Pressure sensor ya kwenye Nini? Share chassis number au part number ya hio sensor
Honda CR-V ipi? RD, RE, RM ama RT?Oil pressure sensor part number ni HP930
Honda RE bossHonda CR-V ipi? RD, RE, RM ama RT?
Ok acha nikuchekie kwa jamaa yanguHonda RE boss
Nahitaji mpya kabisa na sio used mkuuOk acha nikuchekie kwa jamaa yangu
New One from Japan: Tsh 85,000Ok acha nikuchekie kwa jamaa yangu
Asante lakini sio hiyo,Ile haina hilo tundu la pembeni,ngoja ni upload pichaNew One from Japan: Tsh 85,000
New One from Japan: Tsh 85,000