Kununua vocha kimakosa

Kununua vocha kimakosa

😂🤣😁😁pole Mkuu hii Mimi ilinitokea ila niliuza sana vocha Mkuu wewe uza vocha tu hii muamala haurudi hata kidogo
20240615_154508.jpg
 
Au zuia matumizi bila bundle, uwe unaunga kifurushi Cha mwezi, vocha ibaki pale pale, unaweza tumia hata miezi kumi Hio vocha, kitu ni kilekile, labda kama una shida na io pesa kwa sasa
Azingatie hapa, hao wanaomwambia ajiunge bundle unlimited wanamdanganya tuu.
Mm naweka salio la buku ila nmezuia matumizi bila bundle.
 
Nbc Daima karibu Nawe.
Hapo wameshatafuna mkwanja huku wewe unaugulia tu.
 
Tafuta wale wanauza Vocha Rusha, wauzie. Hapo Utapata hasara ya walau 50k tu, kwa 300k unaweza kuwauzia 250k na zaidi. Wala usiogope, inategemea na upo wapi! Nimewahi kosea kununua badala ya 4k nikanunua 40k ilikua voda, nikawauzia wale wa Voda Rusha wakanipa 35k. So usiogope.
 
Back
Top Bottom