Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
Hahahaha 😂 we si ulisema utatulia saiviUjue ww nakuona wife material Afu unakuja kuleta umal...... au bc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha 😂 we si ulisema utatulia saiviUjue ww nakuona wife material Afu unakuja kuleta umal...... au bc
Nikikupata mtatulia 😎Hahahaha 😂 we si ulisema utatulia saivi
utaambiwa humu sio chit chat,,we leta maneno yako ivo ivoNikikupata mtatulia 😎
Hakuna namna !Habarini wana JF
Kuna changamoto nimepata nimenunue vocha ya 300,000 bahati mbaya kupitia NBC app badala ya kutuma kama pesa ya kawaida
Kuna namna yoyote naweza kuipeleka sehemu nipate cash? hata kwa hasara fulani hivi
Ikishindikana kabisa ntakuwa najiungia tu bundle za mwezi za airtel hizi unlimited ila sina mipango mirefu hivyo kwasasa, mwenye idea nitashukuru
Ngoja niwe mpole 😎utaambiwa humu sio chit chat,,we leta maneno yako ivo ivo
Hakika 😁Ngoja niwe mpole 😎
ushauri wangu tafuta watu wanaoonga bando la airtel la mwaka mzima.Niliongea na bank nao hawana msaada same na airtel nao wamesema haiwezi kurudi