Kununua vocha kimakosa

Au zuia matumizi bila bundle, uwe unaunga kifurushi Cha mwezi, vocha ibaki pale pale, unaweza tumia hata miezi kumi Hio vocha, kitu ni kilekile, labda kama una shida na io pesa kwa sasa
Azingatie hapa, hao wanaomwambia ajiunge bundle unlimited wanamdanganya tuu.
Mm naweka salio la buku ila nmezuia matumizi bila bundle.
 
Nbc Daima karibu Nawe.
Hapo wameshatafuna mkwanja huku wewe unaugulia tu.
 
Tafuta wale wanauza Vocha Rusha, wauzie. Hapo Utapata hasara ya walau 50k tu, kwa 300k unaweza kuwauzia 250k na zaidi. Wala usiogope, inategemea na upo wapi! Nimewahi kosea kununua badala ya 4k nikanunua 40k ilikua voda, nikawauzia wale wa Voda Rusha wakanipa 35k. So usiogope.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…