Best umesoma jitegemee ehhh hahahahakiatu mkisi kama wa jitegemee sec.
Mzee wako atakua mtu wa itikadi sanahahahaha
mie nilikua nanunuliwa gauni marefu na mama naliaa..baba akisikia nalia ananipelrka Iringa mjini nanunuliwa fupi[emoji28]..since then napendelea gauni fupi...!
hahahaa ndio aseeBest umesoma jitegemee ehhh hahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kweli wazee sometimes bhanaa...Kuna kiatu niliwahi kuletewa nikiwa shule walah sijui waliwaza nini[emoji134][emoji134][emoji134]
Nilivyofika bwenini nilicheka mpaka basi, nikakiweka uvunguni sijui hata kilipotelea wapi.
Nasikiaga kuna zile smart area, hizo area unatakiwa mtu uwe unakimbia tuuu hahahahha mnafunzwa kijeshi zaidi ila wewe felista bado hujaka kikomavu wewe hahahhahahahaa ndio asee
Vimodo vimekuja siku hizi banah wazazi zamani mabwanga ndiyo ilikua style ya zamani... Tusiwalaumu kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Oversize mpaka mashati aise..Nimeangalia picha zangu za shule ya Msingi khaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
na hapo smart area no kukimbia kwa pose maana ukionwa wanakusubiri ufike afu wakurudishe tenaNasikiaga kuna zile smart area, hizo area unatakiwa mtu uwe unakimbia tuuu hahahahha mnafunzwa kijeshi zaidi ila wewe felista bado hujaka kikomavu wewe hahahha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ahsante kwa kunifanya nichekena hapo smart area no kukimbia kwa pose maana ukionwa wanakusubiri ufike afu wakurudishe tena
kimsingi mm nmekomaa kiwango cha rough road.hahhaha
haya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ahsante kwa kunifanya nicheke
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Bhasi hukununua vigumu aisee...Kuna wamama wanachagua ngozi hiyo balaa...!! Kiatu hata uwe unapigia mawe kinachukua time kuisha..Ila huyo alikukomoaHuyo dogo yupo kama mwanangu anachagua viatu sana, siku moja nimemletea viatu vya shule nikamwambia haya njoo ujaribu viatu kama vinakutosha, akajaribu vikamtosha fresh ila akaniambia hivi viatu ni vibaya sivipendi.
Ikabidi nimkunjie sura nikamwambia huwezi kuchagua viatu vya kuvaa Who are you? Kumbe dogo ana lake kichwani kesho yake akavaa fresh akaenda shule, sasa sijui alivifanyaje sijui alichezea mpira jioni amerudi soli zipo upande vimepasuka vibaya ikabidi niwe mpole tu nikamnunulia vingine