rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
Aisee leo wakati nipo mitaa flani nikakuta mmama anamnunulia mwanae viatu vya shule ambavyo dogo alikuwa analalamika balaa hajavipendaa...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nikasema kumbe wamama wa kiafrika hawabadiliki na wote wanafanana..! Siku ya kufungua shule kila kitu kipya ila kiatu sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]