Ringo Malisa
Member
- Nov 3, 2019
- 25
- 13
Wapinzani mkiona mnayemtendea Ubaya halipizi, Mnamchukia lakini yeye anawaonesha Upendo. Mnamdharau lakini anawaheshimu. Mnamtuhumu wala hajibu tuhuma zenu.
Mnamtenga lakini ameendelea kuwaonesha Upendo na umoja. Mnamshusha anavumilia. Mnamnunia, yeye anawachekea. Mnamhujumu yeye anasonga mbele.
Basi mjue hataki kupoteza juhudi zake za kuliletea Taifa maendeleo kwa sababu yenu. Msipokuwa makini Oktoba 2020 mtaambulia patupu. Na niwatahadhalishe kwamba msije kutuletea visingizio kuwa mmeibiwa kura au uchaguzi umevurugika.