fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
Kwenye mkesha wa mwenge juzi vimekusnywa viroba vitatu vya condom zilizotumikaKila panapotokea mkusanyiko wa watu,uwe kisiasa,wa kidini,wa mashirika au wafanyakazi wa serikali,ikifika jioni,topic kubwa ya maongezi ni kunyanduana,iwe ni wanandoa,iwe ni viongozi wa kidini ni kunyanduana tu,na kweli wananyanduana sana.Hebu na wewe niambie maoni yako
asanteUko sawa kweli mkuu
mkoa ipi?Kwenye mkesha wa mwenge juzi vimekusnywa viroba vitatu vya condom zilizotumika
ni kweliSio kweli
karibu nyandua sana matundu yote 2Na sisi tunangoja ifike jioni ili huu uzi tuujaze comments za kunyanduana tuu
Sasa hv ndio story kubwa, kwenye madaladala, maofisini, vyombo vya habari!Kila panapotokea mkusanyiko wa watu,uwe kisiasa,wa kidini,wa mashirika au wafanyakazi wa serikali,ikifika jioni,topic kubwa ya maongezi ni kunyanduana,iwe ni wanandoa,iwe ni viongozi wa kidini ni kunyanduana tu,na kweli wananyanduana sana.Hebu na wewe niambie maoni yako
huyo zembwela ni zuzu mkubwa,hana anachojua japo anajifanya mjuzi wa mamboSasa hv ndio story kubwa, kwenye madaladala, maofisini, vyombo vya habari!
Leo asubuhi, Efm,watangazajiwanaongelea kutongozana, jinsi wanawake wanavyotongoza wanaume,
Jitu zima kama zembwela, aubuhi kabisa saa kumi na moja!linaongelea kutongozana! Dunia Ina ishu kibao, Vita china taiwan, Korea, Mashariki ya Kati, nk, harafu kenge wanazungumzia kutongozana
🤣Mambo ya kumwaga wazunguNikajua topic kubwa ni israel na lebanon
Ila kweli uzi wa kimasihara ndo maarufu kuliko zote apa ndan yanakutana mazinzi me kwa ke kule.. nikiwemo 😂
Inakupa picha namna jamii zinawaza ngono tu, si utafutaji. Means umaskini ambao unapelekea kudumaa kwa fikraKila panapotokea mkusanyiko wa watu,uwe kisiasa,wa kidini,wa mashirika au wafanyakazi wa serikali,ikifika jioni,topic kubwa ya maongezi ni kunyanduana,iwe ni wanandoa,iwe ni viongozi wa kidini ni kunyanduana tu,na kweli wananyanduana sana.Hebu na wewe niambie maoni yako
Mwanzamkoa ipi?