kunyanduana: ndio topic kubwa

kunyanduana: ndio topic kubwa

fimboyaukwaju

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2020
Posts
2,977
Reaction score
3,798
Kila panapotokea mkusanyiko wa watu,uwe kisiasa,wa kidini,wa mashirika au wafanyakazi wa serikali,ikifika jioni,topic kubwa ya maongezi ni kunyanduana,iwe ni wanandoa,iwe ni viongozi wa kidini ni kunyanduana tu,na kweli wananyanduana sana.Hebu na wewe niambie maoni yako
 
Kwenye mkesha wa mwenge juzi vimekusnywa viroba vitatu vya condom zilizotumika
 
Na sisi tunangoja ifike jioni ili huu uzi tuujaze comments za kunyanduana tuu
 
Kila panapotokea mkusanyiko wa watu,uwe kisiasa,wa kidini,wa mashirika au wafanyakazi wa serikali,ikifika jioni,topic kubwa ya maongezi ni kunyanduana,iwe ni wanandoa,iwe ni viongozi wa kidini ni kunyanduana tu,na kweli wananyanduana sana.Hebu na wewe niambie maoni yako
Sasa hv ndio story kubwa, kwenye madaladala, maofisini, vyombo vya habari!
Leo asubuhi, Efm,watangazajiwanaongelea kutongozana, jinsi wanawake wanavyotongoza wanaume,
Jitu zima kama zembwela, aubuhi kabisa saa kumi na moja!linaongelea kutongozana! Dunia Ina ishu kibao, Vita china taiwan, Korea, Mashariki ya Kati, nk, harafu kenge wanazungumzia kutongozana
 
Nikajua topic kubwa ni israel na lebanon

Ila kweli uzi wa kimasihara ndo maarufu kuliko zote apa ndan yanakutana mazinzi me kwa ke kule.. nikiwemo 😂
 
Sasa hv ndio story kubwa, kwenye madaladala, maofisini, vyombo vya habari!
Leo asubuhi, Efm,watangazajiwanaongelea kutongozana, jinsi wanawake wanavyotongoza wanaume,
Jitu zima kama zembwela, aubuhi kabisa saa kumi na moja!linaongelea kutongozana! Dunia Ina ishu kibao, Vita china taiwan, Korea, Mashariki ya Kati, nk, harafu kenge wanazungumzia kutongozana
huyo zembwela ni zuzu mkubwa,hana anachojua japo anajifanya mjuzi wa mambo
 
Kila panapotokea mkusanyiko wa watu,uwe kisiasa,wa kidini,wa mashirika au wafanyakazi wa serikali,ikifika jioni,topic kubwa ya maongezi ni kunyanduana,iwe ni wanandoa,iwe ni viongozi wa kidini ni kunyanduana tu,na kweli wananyanduana sana.Hebu na wewe niambie maoni yako
Inakupa picha namna jamii zinawaza ngono tu, si utafutaji. Means umaskini ambao unapelekea kudumaa kwa fikra
 
Back
Top Bottom