Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ninakumbuka nikiwa kigoli nilinyewa na ndege utosini, bibi mmoja aliniambia ni bahati.Oooh! Really!? Hebu nielezee kidogo nipate kufahamu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninakumbuka nikiwa kigoli nilinyewa na ndege utosini, bibi mmoja aliniambia ni bahati.Oooh! Really!? Hebu nielezee kidogo nipate kufahamu
Tena ukivaa shati jeupe ni shida kwa Dar ukikaa tu chini ya mti, hawakosagi hawa ndege, ni one shot one goal!Hivi karibuni nimekua nikinyewe na ndege Mara kwa Mara Haswa napokua nipumzika mahali (kwenye kivuli au chini ya nyaya za umeme). Naomba kujua tukio hili huashiria nini!?
hahaaaa atakuwa na nasaba na Mr. Bones huyu.Huashiria wewe ni mtoto wa nje wa mfalme
(from kuvukiland)
Inategemea ndege akiyekunyea[emoji23]Hivi karibuni nimekua nikinyewe na ndege Mara kwa Mara Haswa napokua nipumzika mahali (kwenye kivuli au chini ya nyaya za umeme). Naomba kujua tukio hili huashiria nini!?
hahaaaa atakuwa na nasaba na Mr. Bones huyu.
Sana, nimenyewa sana na ndege hasa kunguru! Sidhani kama ina maana yoyote, ni mazingira tu ila wanapenda sana 'vyoo' vya rangi nyeupe na kwenye vioo vya mbele vya magari.Hahaha! Mkuu yamekukuta wewe.
Mi wamechafua sana mashati yangu meupe ila sijaona bahati yoyote, msoto uko pale pale! Labda bahati ya dizaini nyingine kama bahati ya kuwa na afya!Niliwai sikia ikitokea hivyo kama ndege ni njiwa basi utapata bahati yoyote nzuri.