Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
KabisaUnahisi maneno ya Bibi yamejitafsiri katika hali halisi!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaUnahisi maneno ya Bibi yamejitafsiri katika hali halisi!?
Pole sana..Mi wamechafua sana mashati yangu meupe ila sijaona bahati yoyote, msoto uko pale pale! Labda bahati ya dizaini nyingine kama bahati ya kuwa na afya!
Mkuu! Sio kila palipo na waya wa umeme pana nguzo ya umeme. Besides hizi waya zipo kwenye makazi ya watu.....Hivyo chance ya kukaa chini ya waya wa umeme/TTCL ni kubwa, tena wakati mwingine hua tunakaa hata pasi na kukumbuka kama juu kuna waya.Unapumzikaje chini ya nguzo ya umeme?
Tuanzie hapo kwanza...
Upo sahihi hii naweza shuhudia kisa cha kweli toka kwa ndugu yangu.Unakaribia kufa
Kunyewa na ndege ina maana kubwa sanna ila uchunguze ni ndege gani!? Kama ni kunguru jambo lipo tena kubwa ila kama ni njiwa ni baraka zinakuja ila zaidi ukinyewa kwenye kichwa ndio zahma zinakua hapo
Bi boss missing youKama ni bundi na kunguru ni mkosi...Kama ni njiwa na ndege Wengine ni bahati
NipoBi boss missing you
JF person of the year 2017!Mmmh labda una kismati au gundu