Kunyewa na ndege mara kwa mara huashiria nini!?

Huashiria wewe ni mtoto wa nje wa mfalme
(from kuvukiland)
 
Umenogewa na harufu ya Mavi yao, kinachonikera kwa nini imekuwa vigumu kwako kutoka hapo mangala kuku we
 
Hivi karibuni nimekua nikinyewe na ndege Mara kwa Mara Haswa napokua nipumzika mahali (kwenye kivuli au chini ya nyaya za umeme). Naomba kujua tukio hili huashiria nini!?
Tena ukivaa shati jeupe ni shida kwa Dar ukikaa tu chini ya mti, hawakosagi hawa ndege, ni one shot one goal!
 
Inaashiria Smelters ya kuchakacha dhahabu kujengwa hayo maeneo...
 
Ina maana wewe ni "public toilet" cha ndege. Anza kuwatoza mia mbili mbili mkuu
 
Hahaha! Mkuu yamekukuta wewe.
Sana, nimenyewa sana na ndege hasa kunguru! Sidhani kama ina maana yoyote, ni mazingira tu ila wanapenda sana 'vyoo' vya rangi nyeupe na kwenye vioo vya mbele vya magari.
 
Niliwai sikia ikitokea hivyo kama ndege ni njiwa basi utapata bahati yoyote nzuri.
Mi wamechafua sana mashati yangu meupe ila sijaona bahati yoyote, msoto uko pale pale! Labda bahati ya dizaini nyingine kama bahati ya kuwa na afya!
 
Inamaanisha kuwa unaingia kwenye 18 zao mara kibao.Kaa ndani uone kama watakufuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…