Kunyimwa kura kwa January Makamba kumewachanganya walamba asali, hususani Mzee Makamba

Paulsylvester

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2021
Posts
1,464
Reaction score
3,379
Ukisikia mtu kupagawa ndio huku sasa!

Walamba asali wamechachamaa baada ya jina pendwa la January makamba na Nape Nnauye walamba asali wakuu na walamba asali kwa ujumla kupigwa chini!

Kwa Yale yanayowatoka wastaafu inatupa kuanza kuamini kwamba, nguvu yao ndani ya chama ni ya Mashaka Mashaka!

Ni dhahiri shairi kuwa, kundi la mwendazake linanguvu kubwa ndani ya chama na ndiyo maana sasa wanachokimbilia ni kuwatisha Wana CCM wenzao kwamba wasijitokeze kugombea nafasi ya urais kwa sababu walikuwa hawaamini kuwa nguvu ya mwendazake itawapiku walamba asali hawa!

Ngoja tuone!
 
Ni dhahiri shairi kuwa, kundi la mwendazake linanguvu kubwa ndani ya chama na ndiyo maana sasa wanachokimbilia ni kuwatisha
Kundi la mwendazake litapenyea wapi? Maana chama kimeshikwa na watoto wa mjini. Ili mtu apate uongozi lazima jina lake lipite mikononi mwa Hawa watoto wa mjini
 
Mzee kawa na hasira hatari
 
Nadhan anamaanisha idadi ya kura walizopata ni ndogo na endapo watashindanishwa na wanachama wengine kutafuta nafasi finyu kama ya kugombea Urais ndani ya Chama uwezekano wa wao kushinda ni mchache kwa maana ya kura za jumla.
Kama unajua jinsi lowassa alivyokuwa na alivyoshindwa utaelewa kuwa populariry haisaidii kupata urais kama wazee wakiamua
 
January alinyimwa kura vipi? Amechaguliwa jana. Yupo NEC.
Hata mie sijaelewa!
Ni kwamba kura zao hazikutosha au kwa kifupi hawakupigiwa kura za kuwapa U_NEC, so kilichofanyika mwenyekiti akapenyezewa taarifa ndipo ile nafasi ya goal la mkono inapenyezwa na watu wakacheza na ubao, mara paap hao hapo!.
 
Ni kwamba kura zao hazikutosha au kwa kifupi hawakupigiwa kura za kuwapa U_NEC, so kilichofanyika mwenyekiti akapenyezewa taarifa ndipo ile nafasi ya doal la mkono inapenyezwa na watu wakacheza na ubao, mara paap hao hapo!.
Ebanaeeee
 
Mbona Napa na Makamba wamechaguliwa?
 
Nadhan anamaanisha idadi ya kura walizopata ni ndogo na endapo watashindanishwa na wanachama wengine kutafuta nafasi finyu kama ya kugombea Urais ndani ya Chama uwezekano wa wao kushinda ni mchache kwa maana ya kura za jumla.

Urais ni tofauti na ujumbe wa NEC.
 
Ni kwamba kura zao hazikutosha au kwa kifupi hawakupigiwa kura za kuwapa U_NEC, so kilichofanyika mwenyekiti akapenyezewa taarifa ndipo ile nafasi ya doal la mkono inapenyezwa na watu wakacheza na ubao, mara paap hao hapo!.

Punguza uongo. Matokeo yanaonesha nape na Makamba wamepata kura za kuwatosha kuwa NEC.
 
Wamenuna sana.
 
Kura zipi alizonyimwa, mbona kapita poa tu au ulisikia uchaguzi upi wewe. Business is still usual…. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kama January kanyimwa vipi kuhusu Lukuvi? 😁😁
 
Attachments

  • Screenshot_20221208-164907.png
    177.3 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…