Kunyimwa kura kwa January Makamba kumewachanganya walamba asali, hususani Mzee Makamba

Kunyimwa kura kwa January Makamba kumewachanganya walamba asali, hususani Mzee Makamba

Kama unajua jinsi lowassa alivyokuwa na alivyoshindwa utaelewa kuwa populariry haisaidii kupata urais kama wazee wakiamua
Mara zote wazee wamekua wakiamua... but take this to the Bank...siku wajumbe watakapojisikia kuamua wazee watabaki na butwaa...na hizo siku haziko mbali sana.. Waingereza wanasemaga Enough is Enough.
 
Walamba asali wamepigwa tukio ndiyo maana kila anayesimama anatoa pumba tupu.
 
Is i
Ni kwamba kura zao hazikutosha au kwa kifupi hawakupigiwa kura za kuwapa U_NEC, so kilichofanyika mwenyekiti akapenyezewa taarifa ndipo ile nafasi ya doal la mkono inapenyezwa na watu wakacheza na ubao, mara paap hao hapo!.
Is it possible, by Ngugi wa Thiong'o
 
Ukisikia mtu kupagawa ndio huku sasa!

Walamba asali wamechachamaa baada ya jina pendwa la January makamba na Nape Nnauye walamba asali wakuu na walamba asali kwa ujumla kupigwa chini!

Kwa Yale yanayowatoka wastaafu inatupa kuanza kuamini kwamba, nguvu yao ndani ya chama ni ya Mashaka Mashaka!

Ni dhahiri shairi kuwa, kundi la mwendazake linanguvu kubwa ndani ya chama na ndiyo maana sasa wanachokimbilia ni kuwatisha Wana CCM wenzao kwamba wasijitokeze kugombea nafasi ya urais kwa sababu walikuwa hawaamini kuwa nguvu ya mwendazake itawapiku walamba asali hawa!

Ngoja tuone!
Uko Sahihi!
 
Haya maigizo muda si mrefu yatakwisha.
 
Mleta thread ukiamua kuandika siku ya pili andika kitu kilichokamilika na kiwe kinajitosheleza ki maudhui.

Hizo story za kura hazikutosha ulishindwaje kuziandika tokea mwanzo. Ndio maana unakuta thread inashindwa kupata michango kwa sababu ya kuonekana haina mashiko kwa uandishi mbovu
 
Kundi la mwendazake litapenyea wapi? Maana chama kimeshikwa na watoto wa mjini. Ili mtu apate uongozi lazima jina lake lipite mikononi mwa Hawa watoto wa mjini
MjIni ni wapi eti?
 
Mara zote wazee wamekua wakiamua... but take this to the Bank...siku wajumbe watakapojisikia kuamua wazee watabaki na butwaa...na hizo siku haziko mbali sana.. Waingereza wanasemaga Enough is Enough.

Wajumbe wanafuata upepo Mwenyekiti basi. Lowassa alikuwa na nguvu lakini alikomea njiani.
 
Kundi la mwendazake litapenyea wapi? Maana chama kimeshikwa na watoto wa mjini. Ili mtu apate uongozi lazima jina lake lipite mikononi mwa Hawa watoto wa mjini
90% ya NEC wameshinda kanda ya ziwa
 
Back
Top Bottom