Mara zote wazee wamekua wakiamua... but take this to the Bank...siku wajumbe watakapojisikia kuamua wazee watabaki na butwaa...na hizo siku haziko mbali sana.. Waingereza wanasemaga Enough is Enough.Kama unajua jinsi lowassa alivyokuwa na alivyoshindwa utaelewa kuwa populariry haisaidii kupata urais kama wazee wakiamua
Tumia akili kufikiriJanuary alinyimwa kura vipi? Amechaguliwa jana. Yupo NEC.
Is it possible, by Ngugi wa Thiong'oNi kwamba kura zao hazikutosha au kwa kifupi hawakupigiwa kura za kuwapa U_NEC, so kilichofanyika mwenyekiti akapenyezewa taarifa ndipo ile nafasi ya doal la mkono inapenyezwa na watu wakacheza na ubao, mara paap hao hapo!.
Uko Sahihi!Ukisikia mtu kupagawa ndio huku sasa!
Walamba asali wamechachamaa baada ya jina pendwa la January makamba na Nape Nnauye walamba asali wakuu na walamba asali kwa ujumla kupigwa chini!
Kwa Yale yanayowatoka wastaafu inatupa kuanza kuamini kwamba, nguvu yao ndani ya chama ni ya Mashaka Mashaka!
Ni dhahiri shairi kuwa, kundi la mwendazake linanguvu kubwa ndani ya chama na ndiyo maana sasa wanachokimbilia ni kuwatisha Wana CCM wenzao kwamba wasijitokeze kugombea nafasi ya urais kwa sababu walikuwa hawaamini kuwa nguvu ya mwendazake itawapiku walamba asali hawa!
Ngoja tuone!
Kura kiduchu kashika mkiaJanuary alinyimwa kura vipi? Amechaguliwa jana. Yupo NEC.
Wasira je?ni kijana eeeeh😕Wewe huoni kama Lukuvi tayari ni mzee na anatakiwa awachie wenzake tena, yeye atateuliwa mpaka lini?
Hajui..January alinyimwa kura vipi? Amechaguliwa jana. Yupo NEC.
MjIni ni wapi eti?Kundi la mwendazake litapenyea wapi? Maana chama kimeshikwa na watoto wa mjini. Ili mtu apate uongozi lazima jina lake lipite mikononi mwa Hawa watoto wa mjini
Naona. Tena alipaswa ajiongeze. Ila kati ya Lukuvi na Wasira nani mzee zaidi!Wewe huoni kama Lukuvi tayari ni mzee na anatakiwa awachie wenzake tena, yeye atateuliwa mpaka lini?
Siyo kila kitu utaelewa, mengine soma na kupita vile...Punguza uongo. Matokeo yanaonesha nape na Makamba wamepata kura za kuwatosha kuwa NEC.
Uwezi linganisha kukubalika kwake na asla kasesela kudadeki aslaJanuary alinyimwa kura vipi? Amechaguliwa jana. Yupo NEC.
Mara zote wazee wamekua wakiamua... but take this to the Bank...siku wajumbe watakapojisikia kuamua wazee watabaki na butwaa...na hizo siku haziko mbali sana.. Waingereza wanasemaga Enough is Enough.
Siyo kila kitu utaelewa, mengine soma na kupita vile...
Kura kiduchu kashika mkia
90% ya NEC wameshinda kanda ya ziwaKundi la mwendazake litapenyea wapi? Maana chama kimeshikwa na watoto wa mjini. Ili mtu apate uongozi lazima jina lake lipite mikononi mwa Hawa watoto wa mjini
Na nini kilitokea baada ya yeye kukwamishwa!?Wajumbe wanafuata upepo Mwenyekiti basi. Lowassa alikuwa na nguvu lakini alikomea njiani.