Du. Itabidi uende kozi saloon. AU umsindikize mzee saloon upate tuition ya bure ambayo itakuwa more practical. Hapa jamvini utapata theories tu.
yani mdada mzima hujui kufanya scrub!!
ngoja aanze kwenda saloon awe anawekewa manyonyo mdomoni wakati anafutwa futwa utaona shughuli yake!!
Daah
Soma maelekezo kwenye Kopo au Tube ya Scrub kila kitu utapata hapo.
Helo wadau,
Poleni na kazi,
Naombeni mnisaidie, Mume wangu ana tatizo la kutoka vipele kwenye kidevu anaponyoa, inapelekea uso kuwa na makovu fulani, Nimemshauri awe anaenda saluni kunyoa na kufanya scrub anasema hapendelei, labda nimfanyie mimi,
Sasa naomba mnielekeze namna ya kunyoa na kufanya scrub, vitu gani muhimu kutumia n.k.
Natanguliza shukurani.