Kunyoa ndevu na kufanya scrub

Kunyoa ndevu na kufanya scrub

Lady

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2010
Posts
282
Reaction score
62
Helo wadau,
Poleni na kazi,
Naombeni mnisaidie, Mume wangu ana tatizo la kutoka vipele kwenye kidevu anaponyoa, inapelekea uso kuwa na makovu fulani, Nimemshauri awe anaenda saluni kunyoa na kufanya scrub anasema hapendelei, labda nimfanyie mimi,
Sasa naomba mnielekeze namna ya kunyoa na kufanya scrub, vitu gani muhimu kutumia n.k.
Natanguliza shukurani.
 
Du. Itabidi uende kozi saloon. AU umsindikize mzee saloon upate tuition ya bure ambayo itakuwa more practical. Hapa jamvini utapata theories tu.
 
Du. Itabidi uende kozi saloon. AU umsindikize mzee saloon upate tuition ya bure ambayo itakuwa more practical. Hapa jamvini utapata theories tu.

Labda hapa naweza kupata link ya maelekezo even if ni theory, naweza kujitahidi kupractice, kwa sababu nako kwenda saluni na mzee! yeye tatizo lake ni hataki kunyoa ndevu wala kufanya scrub saluni!
 
Kunyoa mwache mwenyewe ajinyoe kuhusu scrub kafanyiwe wewe mwenyewe salon mara mbili tatu halafu tumia ujuzi uliopata hapo,jamaa yako ni mstaarabu na hataki majaribu kwa vituko wanavyofanya wale mabinti wa salon za kiume we acha tu. Kidogo anamlaza kwenye maziwa yake, mara kaingiza vidole maskioni,kwa mtu asiye makini atachunwa tu.
 
yani mdada mzima hujui kufanya scrub!!
ngoja aanze kwenda saloon awe anawekewa manyonyo mdomoni wakati anafutwa futwa utaona shughuli yake!!
 
yani mdada mzima hujui kufanya scrub!!
ngoja aanze kwenda saloon awe anawekewa manyonyo mdomoni wakati anafutwa futwa utaona shughuli yake!!

Thanks kwa jibu lako, BUT kuuliza si ujinga!!!!!
 
Daah
Soma maelekezo kwenye Kopo au Tube ya Scrub kila kitu utapata hapo.
 
Hata mimi sitaki kufanyiwa hiyo kitu saloon!
 
mmh..hapa naona patazuka ya kuzuka ngoja nisepe
 
ni mwanaume mwenyewe tu na akili zake sio kwenda kufanya scrub salon basi utaweweseka na hao madem, basi kama ivo tutaacha fanya vitu vingi tu apa duniani kisa madem wanatupa majaribu, ndo mana yakaitwa majaribu sio vinginevyo!!!
 
Helo wadau,
Poleni na kazi,
Naombeni mnisaidie, Mume wangu ana tatizo la kutoka vipele kwenye kidevu anaponyoa, inapelekea uso kuwa na makovu fulani, Nimemshauri awe anaenda saluni kunyoa na kufanya scrub anasema hapendelei, labda nimfanyie mimi,
Sasa naomba mnielekeze namna ya kunyoa na kufanya scrub, vitu gani muhimu kutumia n.k.
Natanguliza shukurani.

vipele havitaisha kwa kufanya scrub inabidi aangalie moisturizer na wembe/mashine anazotumia kunyolea..........
 
Dada kuwa makini unaweza ukapiga yowe manake kuwa makini na huyo wako
wasije wakamteka hao wa scrubbing sio wazuri wengine wanamambo yao
wanaweza wakakuharibia .Ila ebu S.H Amon wanaweza kukupa ushauri
mafuta gani mazuri kutumia.
 
kuna product moja inaitwa 'Bump patrol' ni nzuri sana ya kuzuia hivyo vipele after kunyoa....it doesnt smell very nice like normal after shaves but it works!!! let him cleanse shave and apply the bump patrol... hope utaipata hapo ulipo!
 
Back
Top Bottom