Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuja kukuuliza mbona ulaji wa mafuta umeongezeka na ulimwambia haina madharaFanya tu, pimping Haina madhara
Sasa kwanini unataka kuharibu gari nzuri kwa urembo wa kijinga?Sijawhi kumiliki Toyota ni Mazda Axela saloon
Waliotengeza kama zilivyo hawakushindwa 'kuzinyonya' walikuwa na maana na vipimo vyao vya kiusalama.
Naamini ukitaka rim ya design hiyo unayotaka ku modify utapata special kabisa zilizotengenezwa kwa viwango.
Usitafute kufa kizembe kwa ajali kwa kutaka kuiga mambo yasiyokuwa na tija yeyote.
Nina hakika ukiulizwa sasa hivi sababu za kutaka kufanya hivyo utasema umeona kwenye movie au wenzio mtaani.
Niamini mimi hao wa kwenye movie za nje hizo zao zilitengenezwa maalum, hazikufanyiwa modification. Hao wa mitaani wengi wao ndio kama wewe wanaelekea kujidhuru kwa kuiga wasivyovijua.
viuskani vya momo vya formula 1. kutokuzingatia wenzao wa formula 1 zile nguo tu wanazovaa zina airbag.Sisi tunaiga kila kitu bila kujali madhara yake,
Sijui ni ushamba wa magari au nini?
Naonaga vijana wanatoa hadi usukani ulikuja na gari (wenye Airbags) wanaweka kiusukani cha chuma ambacho hakima Airbag.
Madhara ni makubwa sana