KUNYOOSHA RIMU KWA UREMBO JE HAKUNA MADHARA ??

KUNYOOSHA RIMU KWA UREMBO JE HAKUNA MADHARA ??

Ukute kaandika sredi rim zikiwa kwa fundi tayari kufanyiwa mautundu[emoji16]

Itakuwa ki vitz kake ka kwanza ndio maana ni rim size 14. Thrill of the 1st car.
Sijawhi kumiliki Toyota ni Mazda Axela saloon
 
Waliotengeza kama zilivyo hawakushindwa 'kuzinyonya' walikuwa na maana na vipimo vyao vya kiusalama.

Naamini ukitaka rim ya design hiyo unayotaka ku modify utapata special kabisa zilizotengenezwa kwa viwango.

Usitafute kufa kizembe kwa ajali kwa kutaka kuiga mambo yasiyokuwa na tija yeyote.

Nina hakika ukiulizwa sasa hivi sababu za kutaka kufanya hivyo utasema umeona kwenye movie au wenzio mtaani.

Niamini mimi hao wa kwenye movie za nje hizo zao zilitengenezwa maalum, hazikufanyiwa modification. Hao wa mitaani wengi wao ndio kama wewe wanaelekea kujidhuru kwa kuiga wasivyovijua.

Sisi tunaiga kila kitu bila kujali madhara yake,
Sijui ni ushamba wa magari au nini?
Naonaga vijana wanatoa hadi usukani ulikuja na gari (wenye Airbags) wanaweka kiusukani cha chuma ambacho hakima Airbag.
Madhara ni makubwa sana
 
Sisi tunaiga kila kitu bila kujali madhara yake,
Sijui ni ushamba wa magari au nini?
Naonaga vijana wanatoa hadi usukani ulikuja na gari (wenye Airbags) wanaweka kiusukani cha chuma ambacho hakima Airbag.
Madhara ni makubwa sana
viuskani vya momo vya formula 1. kutokuzingatia wenzao wa formula 1 zile nguo tu wanazovaa zina airbag.
 
Back
Top Bottom