Kunywa maji kabla ya kula kutakusaidia usile chakula kingi kupitiliza hasa kwa wale wanaoathiriwa na ladha ya chakula.
Kunywa maji wakati unakula ,kutasaidia mmeng'enyo wa chakula uwe rahisi zaidi.
Kunywa baada ya kula hakuna faida sna kama hivyo vya juu umevitekeleza .
Note. Ni muhimu sana wakati unakula fikra ,matendo na hisia zako zote ziwe kwenye mchakato mzima wa kula.
Kumbuka kutokuzingatia sna ladha ya chakula wakati wakula ,kwani hii hukufanya ule kupita kiasi.