Kunywa Mkojo wako wa Kwanza wa Asubuhi ni Dawa Murua sana

Kunywa Mkojo wako wa Kwanza wa Asubuhi ni Dawa Murua sana

Wanasema na kumsahau mtu eti mnywee kojo asubuhi
 
Wadau naona kumekucha
Kumekuwa na dhana kuwa kwenye mkojo wako mwenyewe hasa wa asb kuna nguvu kubwa ambayo imejificha na kupitia mkojo huo unaweza tibu magonjwa mengi sana
Unatumia mkojo wako wa asubuhi kwa kunywa kabla hujala chochote
Lakini pia wanasema unatibu sana meno pale unapoutumia kusukutua asb kwa muda wa siku 3 had 7

Lakini pia ukinawia mkojo huo unaimarisha sana macho na unaimarisha sana ngozi yako

Lakini kwa upande wa pili wanasema ukinawia mkojo wako bas unaondoa nuks nyingi na hata kama kuna mtu kakutegea kitu basi unakuwa umekiondoa kwa kunawa tu ule mkojo.

Lakini pia unapounywa unaondoa mauchafu mengi sana kwenye tumbo lako ndan abao kwa namna moja ama nyingine uliwahi wekewa kwa iman za giza.

Nimeona nilete huu mjadala kwenu wadau ili tupate kushirikishana na tuweze kujifunza zaidi maana naamini kupitia jukwaa hili tutapata mengi yatayotusaidia.

Naomba kuwasilisha
Kumbuka huko mto Mara mkojo umeua samaki.
 
Tunywe tuu maana hata huko kwenye mitishamba unakuta tunauziwa mikojo yao
 
Bandhugu'


Nasikia hii ni dawa nzuri sana

Urine therapy refers to one of several uses of urine to prevent or cure sickness, to enhance beauty, or to cleanse one's bowels. Most devotees drink the midstream of their morning urine. Some prefer it straight and steaming hot; others mix it with juice or serve it over fruit. Some prefer a couple of urine drops mixed with a tablespoon of water applied sublingually several times a day. Some wash themselves in their own golden fluid to improve their skin quality. Many modern Japanese women are said to engage in urine bathing. The truly daring use their own urine as an enema. Urine is not quite the breakfast of champions, but it is the elixir of choice of a number of holy men in India where drinking urine has been practiced for thousands of years. The drink is also the preferred pick-me-up for a growing number of naturopaths and other advocates of "nature cures." The main attractions of this ultimate home brew are its cost, availability and portability. It is much cheaper than that other "water of life," whiskey (uisge beatha), which also has been hailed for its medicinal qualities. Unlike whiskey, however, urine is always available, everyone carries a supply at all times, and, for most people, there are no intoxicating side effects. Furthermore, the urge to overindulge is almost absent when drinking urine. The same can't be said for good single malt such as Highland Park or a good whiskey such as Black Bush.
Mkuu inabidi ukamatwe haraka sana, nilifuata ushauri huu ile majuzi. Nimekunywa mkojo juzi cha kushangaza jana nimeamka nina mapele mwili mzima mpaka naogopa kutoka nje kuonana na watu.
 
Ni dawa.

Ila kabla hujaanza kutumia hakikisha mkojo wako hauna infections zozote, na pia unapoamua kutumia urine therapy unatakiwa ujizuie kutumia vyakula/vinywaji vyenye sumu i.e tumia vitu ambavyo ni organic.
 
...Kwa jinsi tunavyoamini Kila kitu, Kuna atakuja kutuambia siku Moja 'Ukila Nya Yako ya asubuhi ni Dawa tosha ya Mwili wako... Natukamkubalia, kama ilivyo kawaida yetu!
Hawa Hawa Madakitari ndio walitueleza kwamba kukojoa ni njia ya kawaida ya Mwili kutoa maji na vitu vingine vilivyozidi na visivyo na Umuhimu!.... Inakuwaje Tena Mtu atuambie tunywe mkono wetu wenyewe ili kudisha mwilini vile ambayo Mwili ulishaamua kuvitoa mwilini Kwa njia ya mkojo....na sisi tunakibali TU?? Haya, kunyweni! Hili la kunywa mkojo wangu Mwenyewe naomba linipite!!
 
Vipi lazima uwe wangu? nikinywa wa dame wangu utafaa?
 
ni kitu ambacho sina ujasiri kukifanya, na siamini kama ni dawa. ingekuwa dawa, hakuna mtu angekuwa anaumwa hayo matatizo kwasababu dawa anayo mwenyewe.
 
Back
Top Bottom