Kuoa asiye na bikra ni sawa tuu na kuoa single mother

Mkuu umetisha sana.
Hii yote inaonyesha ulegevu wa sisi wanaume nenda huko uhindini, na uarabuni ukajionee bikra za kumwaga.
Hii inaashiria msimamo wa wanaume dhidi ya wanawake katika jamii hizi.

Hawa wakwetu tunawaendekeza tuu.
Uhindin sawa ila waarabu hawana marinda hata mmoja
 
Huo ni mtazamo wako kwa vile ndio engo unayotafutia umaarufu jamii forums, ila mwanzilishi wa ndoa aliruhusu Daudi aoe mke wa Uria baada ya kuuawa vitani na kutoka kwake alizaliwa mfalme Suleiman, sio hivyo tu Rahabu kahaba yupo kwenye kizazi kilichomleta Yesu duniani ,sio hivyo tu Daudi tena alioa mke Nabali baada ya kufa soma;
2 Na huko Maoni kulikuwa na mtu mmoja, ambaye alikuwa na mali yake katika Karmeli; naye yule mtu alikuwa mkuu sana, mwenye kondoo elfu tatu na mbuzi elfu; naye alikuwa akiwakata manyoya kondoo zake huko Karmeli.
1 Samweli 25:2

3 Na jina la mtu huyo aliitwa Nabali; na jina la mkewe aliitwa Abigaili, na huyo mwanamke alikuwa mwenye akili njema, mzuri wa uso; bali yule mwanamume alikuwa hana adabu, tena mwovu katika matendo yake; naye alikuwa wa mbari ya Kalebu.
1 Samweli 25:3

39 Naye aliposikia ya kwamba Nabali amekufa, Daudi alisema, Na ahimidiwe Bwana ambaye amenitetea teto la shutumu langu mkononi mwa Nabali, na kumzuia mtumwa wake asitende maovu; tena uovu wake Nabali Bwana amemrudishia juu ya kichwa chake mwenyewe. Kisha Daudi akatuma watu, akamposa Abigaili ili amwoe.
1 Samweli 25:39

40 Na hao watumishi wa Daudi walipomjia huyo Abigaili huko Karmeli, walimwambia, wakasema, Daudi ametutuma kwako ili tukutwae uwe mkewe.
Agizo la kuoa mabikira Mungu alilitoa kwa makuhani tu kwamba waoe mabikira,lakini kwingine hakuna hilo andiko,wewe ni nani mtenda dhambi mkubwa unaye bebesha mzigo wengine.
Mwanamke anaepaswa kuolewa ni yule anaemcha Mungu yaani alieokoka,sisemi wanawake wazini waoelewe bila bikra lakini nasema wanawake walio na Mungu ni salama kuliko hizo bikra zako,mwanamke anaweza kuwa na bikra halafu mchawi!utaoa,anaweza kuwa na bikra lakini muuaji huyo ni bora kwako?acha kuendesha watu wasio na ufahamu,huku ukijitafutia umaarufu wa bikra.
 
bro Carlos The Jackal naona tu update maombi, Sasa hivi tuna omba wasiwe wachawi au waathirika wa hiv.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…