Kuoa asiye na bikra ni sawa tuu na kuoa single mother

Kuoa asiye na bikra ni sawa tuu na kuoa single mother

Mkuu umetisha sana.
Hii yote inaonyesha ulegevu wa sisi wanaume nenda huko uhindini, na uarabuni ukajionee bikra za kumwaga.
Hii inaashiria msimamo wa wanaume dhidi ya wanawake katika jamii hizi.

Hawa wakwetu tunawaendekeza tuu.
Uhindin sawa ila waarabu hawana marinda hata mmoja
 
Habari Wakuu!

Imekuwa sasa ni tabia kwa baadhi ya Wanaume wajinga kurusha makombora, vijembe na kejeli kwa dada zetu Single Mother. Wengi wamekuwa wakiwapa maneno ya dhihaka, shutuma na shombo kwa kuwaona hawafai, kuwaona ni wanawake rahisi na wasioweza kufunga nyuchi zao. Jambo ambalo linaweza kuwa kweli na wakati huo huo si kweli. Na kama jambo lolote linapande mbili basi tunaweza hitimisha ni Opinion wala si fact.

Wanaume wenzangu, hakuna tofauti kubwa iliyopo baina ya kuoa mwanamke aliye single mother na yule asiye na bikra. Hawa wote wapo katika kundi moja. Tofauti ni kwamba mmoja hakushika mimba wakati mwingine alishika mimba. Au wote walishika mimba lakini mmoja alikubali kuzaa wakati mwingine alifanya abortion.

Hao wote tayari walikuwa na wapenzi wao kabla. Wote walikuwa wanawapenda kuliko atakavyo kupenda wewe. Hakuna asiyejua mpenzi wa kwanza unavyompenda.

Mimi binafsi siwezi kuwalaumu ma-single mother kutokana na hali zao. Nawakubali kiasi fulani japokuwa si cha kuwafanya wawe katika ndoa na mimi. Siwezi kuoa mwanamke nisiyekuta bikira yake. Siwezi asilani.

Mwanaume kama unatabia ya kuwabeza ma-single mother wakati umeoa mwanamke usiyemkuta na bikira basi huna tofauti na nyani kucheka kundu la mwenzake wakati lake linashahabiahana mwenzake. Mtu hana bikira utajuaje alitoa mimba, utajuaje alitoka na wanaume wangapi. Je utawezaje kuamini maneno yake kwamba hatakusaliti ikiwa hukukuta alama yake ya uaminifu wa mapenzi ambayo ni Bikra.

Ni ujinga kuwacheka single mother ilihali unaendekeza wanawake kuoa wanawake wasio na bikra.
Mambo yote sisi wanaume ndio chanzo, hivi unafikiri kama wanaume wangesema hatuoi mwanamke asiye na bikra unadhani wanawake wangekuwa wepesi. Wanawake wametudharau, wameona wanaume wa siku hizi ni wepesi kutumia mitumba kuliko kitu Kipya. Wanaume tumekuwa kituko kwakweli.

Mbaya zaidi mtu anafunga ndoa takatifu na mwanamke asiye bikira. Kweli dunia imevaa dera. Ndoa takatifu au Ndoa najisi. Wanaume tukiendekeza vitu vya mitumba tutashuhudia mengi sana. Mwanaume timamu na aliyekamilika hawezi kuoa mwanamke asiye na bikra. Ukipinga hili ujue unatatizo la msingi na hujui ni kwa nini Mungu aliiweka hiyo bikra.

Hakuna raha uwe na mwanamke aliyebikra umpende na kumheshimu, umpe mapenzi moto. Mwanamke wa namna hii hata umwambie chochote anakubali. Mungu aliposema mwanaume atamtawala mwanamke alimaanisha mwanamke bikra sio upuuzi mwingine. Mwanamke bikra ni mwepesi kumtawala kuliko kitu chochote, ni mwaminifu na hana pingamizi lolote kwa chochote.

Wanawake wanapunguza mapenzi pale wanapoachwa na mpenzi wa kwanza. Hapo ndipo kiburi na kutokuwa na imani na wanaume kunaanza.

Sio rahisi kwa mwanamke kumkatalia ex wake eti kisa waliachana na kisa yupo na wewe. Naongea kwa uzoefu. Wengi wanakubali kurudiana kwa siri sana. Pia ni ngumu mwanamke uliyemtoa bikra kuanzisha uhusiano na mtu mweingine ikiwa wewe upo na unafanya majukumu yako. Lakini mwanamke uliyekuta bikra haipo hata umpe nini kutoka ni rahisi sana.

Nihitimishe kwa kusema. Hakuna tofauti kubwa kati ya single mother na asiye na Bikra lao ni moja.
Hivyo wanawake wenye watoto msife moyo kwani baadhi ya wanaume wanajidanganya tuu. Pia wafunzeni wabinti zenu kuwa wasafi kwani moja ya baraka kwenye ndoa ni mwanamke kukutwa na bikra.

Nawasilisha, Povu ruksa.
Huo ni mtazamo wako kwa vile ndio engo unayotafutia umaarufu jamii forums, ila mwanzilishi wa ndoa aliruhusu Daudi aoe mke wa Uria baada ya kuuawa vitani na kutoka kwake alizaliwa mfalme Suleiman, sio hivyo tu Rahabu kahaba yupo kwenye kizazi kilichomleta Yesu duniani ,sio hivyo tu Daudi tena alioa mke Nabali baada ya kufa soma;
2 Na huko Maoni kulikuwa na mtu mmoja, ambaye alikuwa na mali yake katika Karmeli; naye yule mtu alikuwa mkuu sana, mwenye kondoo elfu tatu na mbuzi elfu; naye alikuwa akiwakata manyoya kondoo zake huko Karmeli.
1 Samweli 25:2

3 Na jina la mtu huyo aliitwa Nabali; na jina la mkewe aliitwa Abigaili, na huyo mwanamke alikuwa mwenye akili njema, mzuri wa uso; bali yule mwanamume alikuwa hana adabu, tena mwovu katika matendo yake; naye alikuwa wa mbari ya Kalebu.
1 Samweli 25:3

39 Naye aliposikia ya kwamba Nabali amekufa, Daudi alisema, Na ahimidiwe Bwana ambaye amenitetea teto la shutumu langu mkononi mwa Nabali, na kumzuia mtumwa wake asitende maovu; tena uovu wake Nabali Bwana amemrudishia juu ya kichwa chake mwenyewe. Kisha Daudi akatuma watu, akamposa Abigaili ili amwoe.
1 Samweli 25:39

40 Na hao watumishi wa Daudi walipomjia huyo Abigaili huko Karmeli, walimwambia, wakasema, Daudi ametutuma kwako ili tukutwae uwe mkewe.
Agizo la kuoa mabikira Mungu alilitoa kwa makuhani tu kwamba waoe mabikira,lakini kwingine hakuna hilo andiko,wewe ni nani mtenda dhambi mkubwa unaye bebesha mzigo wengine.
Mwanamke anaepaswa kuolewa ni yule anaemcha Mungu yaani alieokoka,sisemi wanawake wazini waoelewe bila bikra lakini nasema wanawake walio na Mungu ni salama kuliko hizo bikra zako,mwanamke anaweza kuwa na bikra halafu mchawi!utaoa,anaweza kuwa na bikra lakini muuaji huyo ni bora kwako?acha kuendesha watu wasio na ufahamu,huku ukijitafutia umaarufu wa bikra.
 
Zaman wanaume kupata bikra ilikua rahisi..

Baadae tukaanza omba kupata bikra..wapiii

Baadae tukaanza kuomba tupate ambaye japo hana lkn anajitunza..wapiii
BPaadae tukaja omba japo hajitunzi lkn awe hajatoa mimba....wapiiiii

Baadae tukaomba angalau basi awe na mtoto mmoja...wapiiii


Tunakoelekea TUTAANZA KUOMBA TUKUTE MTU HAJAFUNULIWA MALINDA[emoji23]

Maana atakua hana bikra,keshatoa mimba,ana mtoto ....wat next??

Sent using Jamii Forums mobile app
bro Carlos The Jackal naona tu update maombi, Sasa hivi tuna omba wasiwe wachawi au waathirika wa hiv.
 
Back
Top Bottom