Kuoa asiye na bikra ni sawa tuu na kuoa single mother

hahahaaa! mkuu umemaind ee
Sija-mind; unawadharirisha mkuu! Unajua idadi yao ni kubwa kuliko sisi so .. waache tu jamani. Nikiangalia mademu ambao nina ukaribu nao ambao ni single mother au nina uhakika wamemegwa ni wengi sana.
 
Niache kuwaza kutafuta pesa nitafute na bikira kwa zama hizi! Ulichokiandika ni sahihi kwa asilimia 99.9999 lakin kutafuta bikira nakudhani itakulindia ndoa kwa zama hiz ni sawa nakumulika tochi wakati jua ni kali zamani miaka 16-25 mwanaume anaoa na mtoto wa kike anaolewa so hata mwanaume mweyewe anakuwa anaanza kufanya tendo la ndo kwa mara ya kwanza na mke wake ,lakini siku hizi miaka 28 ndo kwanza upo mwaka wa kwanza chuo au hata kama umemaliza unasaka ajira almost wengi wanaume wanakuwa tayari kuoa 30y kwenda juu je umetoa bikira ngapi mpaka muda huo hata kama hujakutana nayo umepita na wangapi? Sasa ww sio msafi unataka awe msafi iweje? Kama tutaka kuoa bikira tuanze kubadilika sisi wakati hatuko tayari kuoa tusihitaji pia kinacholiwa na wanandoa hapo tuone hizo bikira watazitoa na ndizi au nadhani hata wanawake wakisema wasitupe kabla ya ndoa hata sisi wanaume tutaoa mapema sana so kusingekuwepi na wasioingilia ndoa za watu, kuhitimisha ni hivi single mother namrespect kuliko wasio na bikira afu hawana watoto koz huyo ni mama kweli kwa wanao kuliko ambaye hujui kama alitupa mtoto suala lakusema ataendeleza mahusiano na baba wa mtoto achana nalo maana akitaka hautaweza kumzuia ni yy tu kujitenga na historia yake kumbuka hata ww unahistoria yako pengine umeshakataa na watoto huko ila unajitapa nataka bikira mazee tuachr kuonea wanawake ni mama zetu ni dada zetu pia ni wake zetu wanatupa heshima yakuitwa baba na kuitwa wajomba kisa tu wamepewa udhaifu tunawashawishi kirahisi basi tusiwafanye shimo la lawama ya kila kinachoendelea kwenye jamii just jua tu zama zimebadilika kama umeshindwa kupata mke mwema tafuta mama bora kwa wanao hivyo tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya ndo maneno ukitaka bikira na ww tulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni ndoto ya kila mwanaume kuoa bikra ila kwa vile nowadays ni ngumu ....basi watu wanazuga na Maneno ya kujifariji
Sio kuzuga mkuu hakuna asiyetambua na asiyetamani hilo ila historia na nafsi itakuhukumu wakati unataka kuoa maana mwenyewe hukuwa wa mchezomchezo walishakukoma huko sasa hao uliopitanao huko unataka mwenzio ao au wataolewa na nani? Mara nyingi tunafanya kubadilishana wake tu, mi nimeacha mwenzangu anapitanaye mbele mwenzangu ametupa mm nakidaka maisha ya sahiv yapo hivyo unafika unataka kutulia basi ulikofika unaweka kambi

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Mkuu moja ya kanuni ya mwanaume ni kufanya kazi kwa bidii na kula kwa jasho ili amtunze mke wake ambaye ni zawadi kutoka kwa Mungu. Jukumu la mwanaume ni kuhakikisha anamtunza mwanamke(mke wake). Yani uweze kutafuta pesa ushindwe kupata mwanamke bikra. Hivi kuna ugumu wowote kwa mwanaume mtafutaji?

Wanaume lazima wahangaike, watafute chapa ili wasipate vitu vya aibu, viporo na mitumba. Mwanaume umebarikiwa pesa alafu uoe kitu cha aibu loooh! dunia imefikia kubaya. Mwanaume ni King, Na moja ya sheria za King ni kuoa mwanamke bikra. Huyo ndiye atakuwa Malkia.

Mwanamke bila bikra anapoteza sifa nyingi sana, haimaanishi hawezi kuolewa hasha anaweza lakini si kwa wanaume wenye na tabia za kifalme, kikuhani na kinabii. Watu hao niliowataja hapo abadan hawawezi tumia kitu used.

Wanaume wenye sifa za kifalme na ambao wanatafuta malkia hutafuta mwanamke bikra. Watu wengine huchagua ili mradi mwanamke tuu.
 
Lakini tujiulize je ni Nani anayezitoa hizi bikra


Ni jinsia gani inayotanguliza sana mbele swala la sex kwa kiasi kikubwa hivyo kupelekea hizi bikra kutolewa

Sent using Jamii Forums mobile app

Hapa hakuna wa kutupiwa lawama zaidi ya watu kujiheshimu mpaka wakati wa ndoa la sivyo tukubali tusikatae watu wataendelea kutumika na kuachwa hivyo wengine kuchukua used
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…