Kuoa asiye na bikra ni sawa tuu na kuoa single mother

Kuoa asiye na bikra ni sawa tuu na kuoa single mother

pia nayo ni kanuni, ila kama hujaoa fuata ninachokisema hutokuja juta. We waone tuu watu wanavyopita njiani, vyumbani ni km tyson na evander
Ha haaa ni kweli mkuu single mothers ukibahatika kumpata anaejielewa uta enjoy.
Ila tatizo moja wanawake wa siku hizi hawajielewi na hofu kubwa huwa wanakuwa na attachements kwa mzazi mwenza kiasi cha kwamba akoshasimika nguzo kwako huku kwa ndoa basi huwa hakosi ku boost nje na mzazi mwenzaand they do that.
Nina respect sana na single mothers ila siwezi ku afford ku take risk ya kumuweka ndani.Unless baba mtoto asiwepo dunian kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unahaki Mkuu, sema tuu
Na anzia hapa. Bikra inatolewa mara moja hali kadhalika mimba inaingia mara moja.

Zinaa ni deni kaka,wewe kama ni mzinifu usitegemee kuoa mfano wako.

Hata mambo ya kuoa bikra au kuto kuoa bikra majibu yake sahihi ni ya kiroho kama baadhi ya watu wanavyoita yaani ya kidini.

Lazima watu wajue hapa duniani watu wanaishi pande mbili,mimi nasema ulimwengu mbili za kimahusiano.

Ulimwengu wa kwanza ni ule ambao si wa kidini huu kupata suluhisho la jibu hili ni ngumu sana.

Ulimwengu wa pili ni ulimwengu wa dini. Ulimwengu wa dini unatambua thamani ya mwanamke na nafasi yake. Unatambua ya kuwa maisha hayaishi katika bikra tu,wala katika kuzaa,bali wala katika kukosa uzao.

Bikra ni heshima ya mwanamke na ni thamani kubwa kwake lakini katu bikra haijawahi kuleta ubora wa mwanamke. Ubora wa mwanamke ni uchamungu wake,bali kwa kila binadamu.

Sisi binadamu tuna badilika kila kukicha leo unalala ukiwa mwema kesho una amka ukiwa muovu. Cha msingi sisi wanaume tuombe salama na tuombe wake wema,ukijaaliwa kumpata mwema na ukamtengenezea mazingira mazuri ya usimamiza lazima utafurahia maisha.

Kama hujaelewa vyema maandishi yangu,rejea kauli hizi "ZINAA NI DENI" na "USIPIGE PASI NGUO IKIWA CHAFU" na "NDEGE WAFANANAO NDIO HURUKA PAMOJA"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thread yako inabidi uandikwe kwa wino wa dhahabu ila wazinifu hatakuelewa
 
Back
Top Bottom