Kuoa asiye na bikra ni sawa tuu na kuoa single mother

Kuoa asiye na bikra ni sawa tuu na kuoa single mother

Yeaah kila mtu asimamie sehem yake.

Lkn wanasema ndo yale unaenda kutana na kidole gumba cha mtoto mchanga

Maumbile sio ishu kwenye ishu ya mapenzi endapo umetoa bikra. wanawake wanaosemaga habari za vibamia wengi ni mtumba wamechakazwa na njia zao zimetanuka haswa. Hapo ndipo utajua kwa nini Mungu aliweka bikra. Mungu Genius
 
Mkuu uliwahi kusikia mwanaume ana bikra wapi. Hiyo elimu ulipewa na nani Mkuu?
Kumbe unajua kuwa hakuna mtu perfect ndio maana mada inasema kuoa asiye bikra na single mother hakuna tofauti kubwa. Yote ni matatizo makubwa yakujitakia. Utachukuaje kitu mtumba wakati unauwezo wa kupata kipya.
Bikra ni mtu yoyote ambaye hajakutana na mwanamke au mwanaume ki ngono. Kwenye maisha matatizo hayakwepeki unaweza oa bikra na yakakushinda tena waliopitia mengi hujifunza na kutulia huyo bikra ukiwa naye atapata hamu ya kuonja sehemu tofauti tofauti, pia hata walio ndoa wamefiwa na waume ni single mother pia kuna single daddy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo maneno umeyatoa wapi mkuu?
nipo tayari kupata hiyo elimu mpya.
Nimefungua Biblia na Qurani sijawahi kuona hiyo elimu mpya.
Nijuze hiyo elimu ya wanaume bikra umeitolea wapi then nitawaomba moods wafute huu uzi
 
Huyo hata akikusaliti utasema amepitiwa na ni bahati mbaya. Unaweza kumsamehe na kusema kweli sio tabia yake lakini hao wengine utawatetea vipi mkuu wakati hukukuta bikra. Si utajua ndio tabia wanaiendeleza
Huyu mtu hataki mazoea kabisa na wanaume hua naona wanajibiwa shit sana, yani shit kweli kweli. Nikiwa nae hua anajiamini sana basi mimi namwangalia alaf nasema hiiiiiiii Mungu asaidie asibadilike.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu mtu hataki mazoea kabisa na wanaume hua naona wanajibiwa shit sana, yani shit kweli kweli. Nikiwa nae hua anajiamini sana basi mimi namwangalia alaf nasema hiiiiiiii Mungu asaidie asibadilike.

Sent using Jamii Forums mobile app

usichezee hiyo nafasi ikiwezekana anza kumtumia kidogo kiuchumi ili iwe ngumu kwake kukuacha. Na hata akikuacha aumie hasara aliyoipata. Ishi nae kwa akili
 
Back
Top Bottom