Jokajeusi
JF-Expert Member
- Jun 1, 2018
- 6,323
- 10,813
- Thread starter
- #41
Wewe mleta mada mambo yetu wanawake ya kuwa na bikra, single mother yanakuhusu nini unahtaji ukue kiakili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hili ni jukwaa huru, mtu hutoa kile aonacho kinafaa ili kutoa elimu kwa watu. Elimu hii inaweza kukufaa au isikufae. Lakini kama unamtoto wa kiume please naomba umpe elimu hii. Kama mmeo alichukua kitu used naomba isijitokeze kwa mwanao.
Wasalamu