Kuoa asiye na bikra ni sawa tuu na kuoa single mother

Kuoa asiye na bikra ni sawa tuu na kuoa single mother

Unamawazo ya kitoto sana. WEWE ni bikra au umeshatolewa maungo youte?


Mwanaume hajawahi kuwa bikra na hatawahi kuwa na sifa hiyo.
Endelea kujifariji hapo na mawazo yako ya kiutu uzima.

Kama umeoa amabye si bikra ndugu yangu pole sana. Lazma awe anagawa tuu. Hiyo ndio kanuni.
 
Mxiuuu hayo n mawazo yako wengine zilitoka bila kutarajia

Sent using Jamii Forums mobile app


Pole sana,
Kama haikutolewa na mtu zaidi ya mume wako basi hii post haikuhusu. lakini kama ni tofauti na hivyo, nampa pole shemeji kwa kubeba kitu cha mtumba ambacho moja ya sifa yake ni cheap.
 
Mkuu umetisha sana.
Hii yote inaonyesha ulegevu wa sisi wanaume nenda huko uhindini, na uarabuni ukajionee bikra za kumwaga.
Hii inaashiria msimamo wa wanaume dhidi ya wanawake katika jamii hizi.

Hawa wakwetu tunawaendekeza tuu.
Nikweli kuendekeza na ulegevu wetu sisi wanaume na Ujinga wetu wenyewe

Haiingii akilin, leo unamla dem x , kesho Y ..ilihal unajua hutowaoa,,.wanaenda kua wake wasokua nabikra kwa Mwenzako.

Hii kitu inakuja kukulipa naww...demu anayeliwa namchizi ..kesho ndo atakua mkeo.

Lkn pia,, wanawake wakileo kazi yao nikutoa miili kama sehem ya kishika uchumba wakizan hiyo ndo assuarance ya ndoa.

Lkn kubwaaaaaa nikwamba Watu wakiambiwa ukweli wananuna !!

Basi tuendelee kupeana Raha tu[emoji23]
 
Waambie mkuu!
Ndio wanawake wa sikuhizi wa town wanao jipitisha nakupiga picha na vinguo vya kubana na vifupi wakijua wanatutamanisha wanaume lakini in reality ukija kuchunguza walisha shushwa value kipindi cha nyuma kwa kutolewa bikira,
Kwahiyo wanacho kuwa wanatarajia wanavyo kuwa wanavaa hivyo vinguo vya ajabu wanakuwa kama wanaji brand upya value yao mbele ya mwanaume but in reality utakiwi hata kuwasogelea ni takataka tu,
Mwanamke bikira hata dressing code zao zinakuwaga za kawaida sana, hawajui kuvaa vizuri,


Shida watu hawapendi ukweli.

Haijalishi wewe ni kiongozi wa dini, nchi au unapesa kiasi gani. Huwezi kuwa upo vizuri kiakili, kiroho, kimwili na kihisia ukashinda kuelewa thamani ya mwanamke bikra katika uaminifu wa ndoa
 
Mwanaume hajawahi kuwa bikra na hatawahi kuwa na sifa hiyo.
Endelea kujifariji hapo na mawazo yako ya kiutu uzima.

Kama umeoa amabye si bikra ndugu yangu pole sana. Lazma awe anagawa tuu. Hiyo ndio kanuni.

Unamaanisha nini unaposema bikra?
 
Nikweli kuendekeza na ulegevu wetu sisi wanaume na Ujinga wetu wenyewe

Haiingii akilin, leo unamla dem x , kesho Y ..ilihal unajua hutowaoa,,.wanaenda kua wake wasokua nabikra kwa Mwenzako.

Hii kitu inakuja kukulipa naww...demu anayeliwa namchizi ..kesho ndo atakua mkeo.

Lkn pia,, wanawake wakileo kazi yao nikutoa miili kama sehem ya kishika uchumba wakizan hiyo ndo assuarance ya ndoa.

Lkn kubwaaaaaa nikwamba Watu wakiambiwa ukweli wananuna !!

Basi tuendelee kupeana Raha tu[emoji23]


Nakuambiaje, kama wanaume wakisema hatuoi mwanamke asiye na bikra amini usiamini hakuna mwanamke mrahisi kuachia kipochi manyoya chake. Wanawake wanapenda ndoa. Shida ni kuwa wanaume tumekubali kutumia vitu vya mitumba. Binafsi hilo halitatokea katika ndoa yangu. Nimelisimamia na sasa nimefanikiwa 90%
 
Mkuu umetisha sana.
Hii yote inaonyesha ulegevu wa sisi wanaume nenda huko uhindini, na uarabuni ukajionee bikra za kumwaga.
Hii inaashiria msimamo wa wanaume dhidi ya wanawake katika jamii hizi.

Hawa wakwetu tunawaendekeza tuu.
Inasemekana hao huwa wanatumia mlango wa uani ili kulinda lango kuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari Wakuu!

Imekuwa sasa ni tabia kwa baadhi ya Wanaume wajinga kurusha makombora, vijembe na kejeli kwa dada zetu Single Mother. Wengi wamekuwa wakiwapa maneno ya dhihaka, shutuma na shombo kwa kuwaona hawafai, kuwaona ni wanawake rahisi na wasioweza kufunga nyuchi zao. Jambo ambalo linaweza kuwa kweli na wakati huo huo si kweli. Na kama jambo lolote linapande mbili basi tunaweza hitimisha ni Opinion wala si fact.

Wanaume wenzangu, hakuna tofauti kubwa iliyopo baina ya kuoa mwanamke aliye single mother na yule asiye na bikra. Hawa wote wapo katika kundi moja. Tofauti ni kwamba mmoja hakushika mimba wakati mwingine alishika mimba. Au wote walishika mimba lakini mmoja alikubali kuzaa wakati mwingine alifanya abortion.

Hao wote tayari walikuwa na wapenzi wao kabla. Wote walikuwa wanawapenda kuliko atakavyo kupenda wewe. Hakuna asiyejua mpenzi wa kwanza unavyompenda.

Mimi binafsi siwezi kuwalaumu ma-single mother kutokana na hali zao. Nawakubali kiasi fulani japokuwa si cha kuwafanya wawe katika ndoa na mimi. Siwezi kuoa mwanamke nisiyekuta bikira yake. Siwezi asilani.

Mwanaume kama unatabia ya kuwabeza ma-single mother wakati umeoa mwanamke usiyemkuta na bikira basi huna tofauti na nyani kucheka kundu la mwenzake wakati lake linashahabiahana mwenzake. Mtu hana bikira utajuaje alitoa mimba, utajuaje alitoka na wanaume wangapi. Je utawezaje kuamini maneno yake kwamba hatakusaliti ikiwa hukukuta alama yake ya uaminifu wa mapenzi ambayo ni Bikra.

Ni ujinga kuwacheka single mother ilihali unaendekeza wanawake kuoa wanawake wasio na bikra.
Mambo yote sisi wanaume ndio chanzo, hivi unafikiri kama wanaume wangesema hatuoi mwanamke asiye na bikra unadhani wanawake wangekuwa wepesi. Wanawake wametudharau, wameona wanaume wa siku hizi ni wepesi kutumia mitumba kuliko kitu Kipya. Wanaume tumekuwa kituko kwakweli.

Mbaya zaidi mtu anafunga ndoa takatifu na mwanamke asiye bikira. Kweli dunia imevaa dera. Ndoa takatifu au Ndoa najisi. Wanaume tukiendekeza vitu vya mitumba tutashuhudia mengi sana. Mwanaume timamu na aliyekamilika hawezi kuoa mwanamke asiye na bikra. Ukipinga hili ujue unatatizo la msingi na hujui ni kwa nini Mungu aliiweka hiyo bikra.

Hakuna raha uwe na mwanamke aliyebikra umpende na kumheshimu, umpe mapenzi moto. Mwanamke wa namna hii hata umwambie chochote anakubali. Mungu aliposema mwanaume atamtawala mwanamke alimaanisha mwanamke bikra sio upuuzi mwingine. Mwanamke bikra ni mwepesi kumtawala kuliko kitu chochote, ni mwaminifu na hana pingamizi lolote kwa chochote.

Wanawake wanapunguza mapenzi pale wanapoachwa na mpenzi wa kwanza. Hapo ndipo kiburi na kutokuwa na imani na wanaume kunaanza.

Sio rahisi kwa mwanamke kumkatalia ex wake eti kisa waliachana na kisa yupo na wewe. Naongea kwa uzoefu. Wengi wanakubali kurudiana kwa siri sana. Pia ni ngumu mwanamke uliyemtoa bikra kuanzisha uhusiano na mtu mweingine ikiwa wewe upo na unafanya majukumu yako. Lakini mwanamke uliyekuta bikra haipo hata umpe nini kutoka ni rahisi sana.

Nihitimishe kwa kusema. Hakuna tofauti kubwa kati ya single mother na asiye na Bikra lao ni moja.
Hivyo wanawake wenye watoto msife moyo kwani baadhi ya wanaume wanajidanganya tuu. Pia wafunzeni wabinti zenu kuwa wasafi kwani moja ya baraka kwenye ndoa ni mwanamke kukutwa na bikra.

Nawasilisha, Povu ruksa.
naunga mkono hoja..
 
Back
Top Bottom