Kuoa asiye na bikra ni sawa tuu na kuoa single mother

Kuoa asiye na bikra ni sawa tuu na kuoa single mother

Zaman wanaume kupata bikra ilikua rahisi..

Baadae tukaanza omba kupata bikra..wapiii

Baadae tukaanza kuomba tupate ambaye japo hana lkn anajitunza..wapiii

Baadae tukaja omba japo hajitunzi lkn awe hajatoa mimba....wapiiiii

Baadae tukaomba angalau basi awe na mtoto mmoja...wapiiii

Tunakoelekea TUTAANZA KUOMBA TUKUTE MTU HAJAFUNULIWA MALINDA[emoji23]

Maana atakua hana bikra,keshatoa mimba,ana mtoto ....wat next??

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanayafanya hayo yote na wanawake wenzao au wanaume?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu acha kuchekesha, bikra ni nadharia wakati wanawake wanazo!!! Umenishangaza kweli Hujui hata dini inazitambua hizo bikra. Au hujui moja ya sifa ya mwanamke mzuri ni bikra yaani hajawahi kulalwa.

Hayo mafundisho mnapewaga wapi mkuu?
usipende kurahisisha mambo. Bikra inatambulika kimwili, zaidi sana inatambulika kiroho.

muulize Mshana Jr akufundishe habari za bikra na umuhimu wake
Sio kila mtu anaamini dini za wazungu na waarabu walizowaletea ili kuwatawala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
usichezee hiyo nafasi ikiwezekana anza kumtumia kidogo kiuchumi ili iwe ngumu kwake kukuacha. Na hata akikuacha aumie hasara aliyoipata. Ishi nae kwa akili
Nimeanza nae tangu sina kitu mpaka sasa, japo mambo hayajanyooka sana ila ndio kama tumeanza juzi. Ogopa unaambiwa " mume wangu huu mwaka usipite bila kununua kiwanja". Imebidi nimpeleke hom kijanja janja kama rafiki na saivi anaweza hata lala kiufupi huyu ntaoa tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimeanza nae tangu sina kitu mpaka sasa, japo mambo hayajanyooka sana ila ndio kama tumeanza juzi. Ogopa unaambiwa " mume wangu huu mwaka usipite bila kununua kiwanja". Imebidi nimpeleke hom kijanja janja kama rafiki na saivi anaweza hata lala kiufupi huyu ntaoa tu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sasa usimcheleweshe oa kama unaoa mkuu
 
Back
Top Bottom