Kuoa asiye na bikra ni sawa tuu na kuoa single mother

So unakubali tumekubali kishingo upande kwamba fresh tu....poa tu...tuchukue hawa hawa coz no any other option (hiyo reason ulosema wewe ni Moja ya saba by ya kusupport point yangu ya life imechange so hatuna option)
 
Dah! Mkuu umenchekesha sana, nmecheka kwa sauti kweli [emoji23]
 
So unakubali kwamba mwanaume yoyote anatamani bikra sema wengi wamesha give up ....anyways unacompare singo mama na asiyesingo mama(asiyebikra) kwamba amaweza kuwa katoa mimba nyingi
What if huyo singo mama before kuamua kujifungua(kwa kupenda au kutopenda) nae alishazichomoa mimba nyingi na asiye singo mama(asiyebikra) hajawahi kubeba mimba ?
 
Haya mambo ni kama bahati me nimebikiri madem 3 lakini wote hamna kitu na wa mwisho kumbikiri yeye nilimuweka wazi na mipango yote ya kumuoa, lakini dem alianza uhuni wa chini chini akawa anachapisha kinyama.
Nilivogundua nikamtema baadae nikapata dem mmoja ambae alikuwa na skendo kibao na alikuwa na maumivu ya kuachwa na jamaa yake kisa hizo skendo zilizozagaa mtaani.
Baada kumtongoza akakataa katu hataki mwanaume me nikajitahidi kumuweka Sawa akakubali, akanieleza kila kitu juu ya maisha yake me nikapima maelezo yake na skendo za pale kitaa nikaona kama uzushi.
Nikamwambia me nakupenda hivyo hivyo yaani mpaka leo mwanamke anaakili ya maisha na upendo kwangu na sijawahi hata siku moja kuhisi Ana cheat na she is the best women ever to me.
Afu pin kweli na ni mwaka wa 3 sija experience chochote kibaya kutoka kwake hadi amekuwa wife.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vibikra vya nini,kutoa damu,sijui unaniumiza mi napenda yaliyokubuhu ka akina Zari,Shilole,Wema.yaani unipe kibikra feki cha zanzibar kimezibuliwa nyuma mbele tu ndiyo bikra au yule mkuu wa wilaya asiye na bikra,Straight ntaenda kwa mkuu wa wilaya.
 
Zama zimebadilika hase umetafuta pesa umeanza kuziona una 30+ unaanza kutafuta bikira siku hizi 12 msichana hana hiyo kitu ishaondoka tayari means uanze kutunza mtoto wa mtu mpaka afike miaka 18+ uoe hapo we utakuwa 48+ afu umesomesha wajanja wanapaa naye mzee unavuna ulichopanda wakati unatafuta hajuahitaji kuoa ushaondoa watoto wawatu bikira za kutosha au ushachezea watoto wawatu sana na washaolewa na wengine wapo powa na familia zao we unatafuta bikira tu,stress zote za nn? Mi nkishaona she is worth to be my children mother its more thana enough, ufalme kwa sasa ni ufahari tu mi sipeleki mke kaburini thats why tunasema kifo kitakapotutenganisha je means nimemtoa bikira itamaanisha zijazini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
So unakubali tumekubali kishingo upande kwamba fresh tu....poa tu...tuchukue hawa hawa coz no any other option (hiyo reason ulosema wewe ni Moja ya saba by ya kusupport point yangu ya life imechange so hatuna option)
Ndo hivyo mkuu maisha yetu tusilinganishe na wazee wetu yaani tushavua nguo sharti tuoge tunastuka kumekucha,anayewatoa ni sisi we unafikiri atakayewaoa wakiwa hawana ni nani? Mtoto wakike zamani anafundishwa kuolewa tu sasahiv sio lazima aolewe amefundishwa kujitegemea miamia yaani ukijitia nunda nayy atakukazia tu afu anaeza asikuhitaji akihitaji m.begu zako akizaa anatunza mwenyewe utasema nn

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thats my mind tu nkianza kukopare single mom atashinda kuwa mama but in reality wote nisawa tu kuna uwezekano mkubwa mwingine huyo mtoto tu aliyenaye ameshameza zakutosha ila ndo mungu kawa upande wa mtoto kaishi misukosuko yote so hii dunia imekuwa tofauti sana jaman kabila langu enzi niko mdogo ila nshaanza kujitambua mtoto wa kike akibeba mimba ataozeshwa kwa mbabu au ataenda kujifungulia vijiji vingine yaani anaenda kuwekwa mbali na nyumbani lakin sasahiv anazaa nyumbani hadi kizazi kinaisha yupo kwa babake na hakuna shida yaani inakera lakin mimba anawapa nani je wakati inauma dadako kubeba mimba nyumbani we umesahau umetoka kwa dada wa mwenzako, mkuki tupa kwa nguruwe lakin ukija kwako japo inauma kaza tu hamna namna

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaotafuta bikira mtafute tu ila mm binafsi ikifika wakati nataka kuweka ndani awe single mom ila kitu ntakataa ni mtoto aliyejitambua huyo sichukui afu pia jamaa asahau kuhusu huyo mtoto ntalea kama wangu foreva atajua mm ni babake pia siwez chukua kwareason za mwanamke nacheki kama jamaa amemkana mtoto itanoga zaid as long anajua kufight maisha ataniheshimu na nimempenda hase i dont care kabisa kuumiza akili kwa pesa tu imetosha sihitaji kufanya maisha magumu zaidi,siwez saka bikira wodi ya wazazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…