Kuoa au kuolewa kunapunguza ushawishi

Cute Msangi

Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
79
Reaction score
226
Kuoa na kuolewa ni Jambo nzuri na la kheri Katika dini zetu na Jamii inayotuzunguka.

Kwa mwanamke ndoa ni heshima Ila ukiolewa tu ushawishi unapungua Katika Jamii yako mfano ukiwa mwimbaji,muigizaji,models nk ukishaingia kwenye Ndoa ule ushawishi wa kufanya kitu unachokipenda unapungua muda mwingi upo na familia.

Diamond platnumz ni msanii mkubwa na ni mfano wa kuigwa kwa vijana wengi,Leo diamond akioa tu niamini Mimi status yake au ushawishi wake lazime upungue kwa vijana.
 
Ulisema wew una muonekano wa kiume (tomboy) Acha inyeshee😅😅😅
 
Mademu wa Arusha hamjitambui utom boy unawaponza na uchafu
 
Naoana hata Kikwete ushawishi wake umepotea
 
Hivi ni kweli umetumia kabisa kichwa chako kufikiri?
 
Labda unataka kuleta story hiyo kibongo bongo. Maana huko mbele wasanii wengi tu wenye ushawishi wameoa na wameolewa.
 
Wacheza mpira wengi wana wake mbona ushawishi aupunguagi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…