Kuoa au kuolewa kunapunguza ushawishi

Kuoa au kuolewa kunapunguza ushawishi

Kuoa na kuolewa ni Jambo nzuri na la kheri Katika dini zetu na Jamii inayotuzunguka.

Kwa mwanamke ndoa ni heshima Ila ukiolewa tu ushawishi unapungua Katika Jamii yako mfano ukiwa mwimbaji,muigizaji,models nk ukishaingia kwenye Ndoa ule ushawishi wa kufanya kitu unachokipenda unapungua muda mwingi upo na familia.

Diamond platnumz ni msanii mkubwa na ni mfano wa kuigwa kwa vijana wengi,Leo diamond akioa tu niamini Mimi status yake au ushawishi wake lazime upungue kwa vijana.
Duuh kumbe wewe ni tomboy aseee daaah ngoja niache kubishana na ww sura za baba ndo mnatukatisha stimu sisi
 
Ukweli ndo huo , ukiwa kwenye ndoa tuu kuna baadhi ya makundi yanakukimbia , automatically , kuna fan base unapoteza..
 
Back
Top Bottom