Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Mwanamme kufuatilia mwanamme mwenzake kaoaje anaweza kuleta swali kwamba huyo mwanamme alitaka kuolewa yeye na mwanamme mwenzake.Miaka ya ukoloni 1950s kuja 1980s wazee wetu waliopata scholarship za kusoma nje Mara baada ya masomo walirudi na wake Wa kizungu mfano babake Obama, prof Sarungi na wengineo!
Hata wasanii kama Lemmy ongara pia walio wazungu!
Pia kasumba hii imeenea pia kwa wanawake wengi ambao kuwa na mahusiano na mzungu ni kama proudness flani! Bila ya kujali ni kababu au makamu! Nchi kama za Kenya na Nigeria and whole of Africa ina trend sana!
Mifano ni mingi hata ya waigizaji wengi huona fahari Ku date na foreigners.
Mitaani pia hasa uswahilini mtu akiwa na hata hawa machotara Wa kiasia hujiona tofauti.
Hii tabia ya waafrika kutothamini vya kwetu tunaitoa wapi
Pia, kila mtu ana uhuru wa kuoa au kuolewa na anayemtaka, na kujisikia ana furaha na fahari na mke au mume anayemtaka, ukianza kuhoji habari za nani kamuoa nani utaitwa mmbea.