Kuoa au kuolewa na mzungu ni sifa!

Kuoa au kuolewa na mzungu ni sifa!

Miaka ya ukoloni 1950s kuja 1980s wazee wetu waliopata scholarship za kusoma nje Mara baada ya masomo walirudi na wake Wa kizungu mfano babake Obama, prof Sarungi na wengineo!

Hata wasanii kama Lemmy ongara pia walio wazungu!

Pia kasumba hii imeenea pia kwa wanawake wengi ambao kuwa na mahusiano na mzungu ni kama proudness flani! Bila ya kujali ni kababu au makamu! Nchi kama za Kenya na Nigeria and whole of Africa ina trend sana!
Mifano ni mingi hata ya waigizaji wengi huona fahari Ku date na foreigners.

Mitaani pia hasa uswahilini mtu akiwa na hata hawa machotara Wa kiasia hujiona tofauti.

Hii tabia ya waafrika kutothamini vya kwetu tunaitoa wapi
Mwanamme kufuatilia mwanamme mwenzake kaoaje anaweza kuleta swali kwamba huyo mwanamme alitaka kuolewa yeye na mwanamme mwenzake.

Pia, kila mtu ana uhuru wa kuoa au kuolewa na anayemtaka, na kujisikia ana furaha na fahari na mke au mume anayemtaka, ukianza kuhoji habari za nani kamuoa nani utaitwa mmbea.
 
Mkuu unahisi wanakimbilia nn ambacho weusi hatuna
Sana maisha pili wanahisi wazungu wanajua caring!lakini mara nyingi hudhalilishwa na wanavumilia ili wasichekwe au kurudi africa!hufanyia vitendo vichafu sana na wazungu.kama 3some,fisting na anal.unaweza shangaa siku hiyo kaja na masela wakupige tungo
 
Kama ni hivyo, na hayo ndiyo maisha waliyochagua wenyewe watu wazima wenye akili zao, tatizo liko wapi?

Mbona kuna binti kakataa kuolewa na wazungu, kafanya mpango bwana wa Kiafrika kutoka Tanzania amuoe na kwenda kuishi naye London, na huyu bwana akaishia kumpiga visu na kumuua?

Na bwana mwenyewe si mzungu.

Acheni generalization.
 
Kama nihivyo, na hayondiyo maisha waliyochagua wenyewe watu wazimawenye akili zao, tatizo liko wapi?

Mbona kuna bintikakataa kuolewa na wazungu, kafanya mpangobwana wa Kiafrika kutoka Tanzania amuoe na kwenda kuishinaye London, na huyu bwana akaishiakumpiga visu na kumuua?

Na bwana mwenyewe si mzungu.

Acheni generalization.
Nini sababu ya kumpiga visu?
 
Nikiwa huku, nilianza na mbongo, nikaja mliberia then nina mu asia...kiukweli weupe si watamu kama weusi ila wana mapenzi genuine na hawapendi kuhongwa. Huyu nitamleta bongo kama mambo hayataharibika njiani maana huu wivu ni hatari sana.
 
Sioni ubaya katika hilo,kila mtu anapenda apendacho, kwa sababu zake mwenyewe, nina rafiki yangu wa kike kaolewa na mzungu sababu alipenda kuwa na mtoto chotara, mwingine kaolewa na mzungu sababu mzungu kaonyesha mapenzi ya kweli kuliko ndugu yangu aliyekuwa anatembea naye, aunt yangu kaolewa na mzungu na walipendana kwenye golf wote walikuwa matajiri kea wakati huo now ni miaka 19 wapo kwenye ndoa
 
Shida hawa dada zetu nao nimajanga wamepewa ngozi nzuri nywele nzuri hatakama ni za kipilipili, vyote hawavitaki nao wanataka kuwa kama hao wazungu. Unamtizama mdada kajaliwa sura na umbo zuri yeye pasipo kujitambua anaanza kuangaika na makorokoro kibao mwisho wasiku anakuwa kama kituko sasa!!. mimi mwenyewe kuliko kuwa nakituko kama huyo bora kuoa mzungu!!
 
Kuna mzungu mmoja alikuwa kiongozi mkubwa ofisini kwetu(jina kapuni) alikuwa ananipenda kupita maelezo,lakini mimi na wanaume weupe ni maji na mafuta(hatuchangamani) basi akawa anatumia mpaka watu wakubwa wanieleze anavyonipenda,ukimsikiliza anavyonibembeleza utadhani mi ni mwanamke peke yangu hapa duniani alikuwa ananikera hatari sikutaka mahusiano nae kabisa!! basi ngozi nyeusi wenzangu eti wakawa wananiambia nachezea bahati mfyuuuuuuuu! Mi napendaga wanaume weusi wa kitanzania japo sometime nao madish huwa yanayumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sipendi na wala sina ndoto ya kwenda kuishi nje ya tanzania labda kikazi! Wazungu wanipite kushoto kabisa!!
 
Mkuu kwanini huwataki je akisema muishi wote tz
 
Lakin ishu inakuaje exaggerated km mzungu akimfanyia muafrika kitu kibaya??lakin waafrika kwa waafrika sawa tuu!au african amfanyie mzungu haiitwi racism
Ndiyo hapoutakapo jua kwamba.

1. Ushenzi hauna rangi. Kuna washenzi weusi na weupe.
2. Suala la mtu kuamua kuolewa na mzungu au muafrika, mzee au kijana ni suala la mtu binafsi, kuliingilia ni umbeya.
 
Kuna mzungu mmoja alikuwa kiongozi mkubwa ofisini kwetu(jina kapuni) alikuwa ananipenda kupita maelezo,lakini mimi na wanaume weupe ni maji na mafuta(hatuchangamani) basi akawa anatumia mpaka watu wakubwa wanieleze anavyonipenda,ukimsikiliza anavyonibembeleza utadhani mi ni mwanamke peke yangu hapa duniani alikuwa ananikera hatari sikutaka mahusiano nae kabisa!! basi ngozi nyeusi wenzangu eti wakawa wananiambia nachezea bahati mfyuuuuuuuu! Mi napendaga wanaume weusi wa kitanzania japo sometime nao madish huwa yanayumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sipendi na wala sina ndoto ya kwenda kuishi nje ya tanzania labda kikazi! Wazungu wanipite kushoto kabisa!!
Nakazia
ULICHEZEA BAHATI
 
Mika ya 79 - 85 niliwalamba vizee vya kizungu vitano kwa nyakati tofauti vikiwa na umri Kati ya Mika 32 - 55, sikuona mwenye "sugi" wala "rikong'o" ndefu vitu ambavyo ndiyo vinanipa mzuka!!!!
Wewe nyamwikarira machi jibhunu.
 
Mkuu kwanini huwataki je akisema muishi wote tz
Mapenzi ni hisia ngozi zao hazijawahi kunihamasisha hata kidogo,ngozi nyeusi ndo ugonjwa wangu lkn hata akiwa mtanzania lkn ngozi yake nyeupe hapana kwa kweli! Suala la kuishi wote TZ bado ni gumu nyumbani ni nyumbani tu ! anaweza kutegeshea mkishaoana mkazaa na watoto anaanza kukushawishi mkaishi kwao! Utakataa vipi ndoa yako bado unaipenda?
 
Back
Top Bottom