Kuoa au kuolewa na mzungu ni sifa!

Kuoa au kuolewa na mzungu ni sifa!

Miaka ya ukoloni 1950s kuja 1980s wazee wetu waliopata scholarship za kusoma nje Mara baada ya masomo walirudi na wake Wa kizungu mfano babake Obama, prof Sarungi na wengineo!

Hata wasanii kama Lemmy ongara pia walio wazungu!

Pia kasumba hii imeenea pia kwa wanawake wengi ambao kuwa na mahusiano na mzungu ni kama proudness flani! Bila ya kujali ni kababu au makamu! Nchi kama za Kenya na Nigeria and whole of Africa ina trend sana!
Mifano ni mingi hata ya waigizaji wengi huona fahari Ku date na foreigners.

Mitaani pia hasa uswahilini mtu akiwa na hata hawa machotara Wa kiasia hujiona tofauti.

Hii tabia ya waafrika kutothamini vya kwetu tunaitoa wapi
Wanawake au wanaume wa Kiafrika wengi ni ma pasua kichwa arafu Afrika tuna dalili ya kuwa na utahila wa kizaliwa nao na ndiyo maana hatugundui chochote na hatuendelei so watu siku hizi tunajaribu kumix vinasaba ili kupunguza generation ya matahila meusi. TRUST ME
 
We jamaa ungefaa sana kuwa puppet Wa wakoloni maana huoni hata uafrika hapa ninaoutetea ,
Cha msingi je ni mapenzi kweli au kuna influence ya materials na psychology inahusika!!?wakeup and smell the coffee assimilate!
Atakuwa ameoa mzungu huyo ndo maana anajitetea
 
Hata kwa wao, wakiamua kuishi hivyo kwa matakwa yao wewe kinachokusumbua kipi?

Wewe mtu akikwambia ni limbukeni wa Ma Nigga ndiyo maana umeweka picha ya Puff Daddy, mtu anayesemekana kuwa ni mse.nge New York, na hivyo wewe nawe una vichembechembe vya us.enge, na ndiyo maana unataka kuingilia ndoa za watu, una njozi za kuolewa wewe, utafurahia?
Acha hizo mzee kwani mtu kuupenda na kuuthamini utamaduni wake hiyo nayo ni utumwa?
 
Acha hizo mzee kwani mtu kuupenda na kuuthamini utamaduni wake hiyo nayo ni utumwa?
Si utumwa.

Lakini, kupenda na kuuthamini utamaduni wako maana yake uwashutumu watu walioamua kuoa au kuolewa na wazungu?

Utamaduni wetu ni pamoja na kuheshimiana.

Kuheshimiana ni pamoja na kujua mipaka ya mambo ya faragha.

Mambo ya faragha ya mtu ni pamoja na uchaguzi wa nani anataka kumuoa au kuolewa naye.

Sasa mtu mmoja baki kumpangia mtu mwingine baki nani wa kuoa au kuolewa naye, au kumsema nani wa kuoa au kuolewa naye, si utamaduni wetu.

Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere alikemea ubaguzi wa rangi. Alikemea weupe kubagua weusi Afrika ya Kusini.

Watu wakaja na dhana ya uzawa Tanzania. Akaikemea nayo. Akasema ni ukaburu tu ule ule.

Sasa kwa nini tunabagua walioamua kuoa au kuolewa na wazungu kwa hiyari zao?

Huu sio ubaguzi ule ule alioukemea Mwalimu Nyerere?

Martin Luther King alisema tusimhukumu mtu kwa rangi ya ngozi yake, bali kwa tabia zake, sasa mbona tunaingia kwenye mtego wa ubaguzi wa rangi wa kubagua watu kwa sababu ni wazungu?
 
Kuoa mzungu ni utumwa wa kifikra mzee, wewe ni mbongo halafu mtoto wako mzungu wewe unaona sawa hapo
 
Mika ya 79 - 85 niliwalamba vizee vya kizungu vitano kwa nyakati tofauti vikiwa na umri Kati ya Mika 32 - 55, sikuona mwenye "sugi" wala "rikong'o" ndefu vitu ambavyo ndiyo vinanipa mzuka!!!!
tupe stori zaidi mkuu inaonekana una stori ya ziada
 
Kuna mzungu mmoja alikuwa kiongozi mkubwa ofisini kwetu(jina kapuni) alikuwa ananipenda kupita maelezo,lakini mimi na wanaume weupe ni maji na mafuta(hatuchangamani) basi akawa anatumia mpaka watu wakubwa wanieleze anavyonipenda,ukimsikiliza anavyonibembeleza utadhani mi ni mwanamke peke yangu hapa duniani alikuwa ananikera hatari sikutaka mahusiano nae kabisa!! basi ngozi nyeusi wenzangu eti wakawa wananiambia nachezea bahati mfyuuuuuuuu! Mi napendaga wanaume weusi wa kitanzania japo sometime nao madish huwa yanayumba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sipendi na wala sina ndoto ya kwenda kuishi nje ya tanzania labda kikazi! Wazungu wanipite kushoto kabisa!!
you must be mixed haya and chagga kwa jinsi nlivyokusoma
 
Tatizo wazungu k zao zimepoa mno yaan baridiiiii kama barafu vile tofauti na hawa waswazi wenzetu ni moto, tamu, mtelezo na zinanoga utamu hadi kisogoni
 
Kuoa mzungu ni utumwa wa kifikra mzee, wewe ni mbongo halafu mtoto wako mzungu wewe unaona sawa hapo
Ukirudi kinyumenyume hivyo kwa fikra za kijinga utataka kumuoa mama yako ukamilishe racial purity.

Zaidi, hqbari ya mwanamme mmoja kuanza kuchunguza kwa nini mwanamme mwingine kaoa alivyotaka yeye ni mwanzo wa huyo mwanamme anayechunguza naye kuja kuolewa.

Kiumeni kila mtu anatafuta anachopenda.

Kuanza habari za kwa nini huyu kapenda pale ni umbeya.
 
Back
Top Bottom