Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sory,wana JF.Kuoa kuna limiting age?Na kabila lina matter?Nataka nioe nikifikisha 35.Au nitakua nimezeeka?Msaada plz.thanx
Sory,wana JF.Kuoa kuna limiting age?Na kabila lina matter?Nataka nioe nikifikisha 35.Au nitakua nimezeeka?Msaada plz.thanx
Sory,wana JF.Kuoa kuna limiting age?Na kabila lina matter?Nataka nioe nikifikisha 35.Au nitakua nimezeeka?Msaada plz.thanx
Asante sana,kwa wachangiaji at least nimepata mwanga,ngoja niwepo wepo the time will tell.Be blessed.Sory,wana JF.Kuoa kuna limiting age?Na kabila lina matter?Nataka nioe nikifikisha 35.Au nitakua nimezeeka?Msaada plz.thanx
Limitations zipo tu...zipo za kisheria (huwezi kuowa kama hujafikisha miaka 18 na huwezi kuolewa ukiwa chini ya miaka 15!), zinaweza kuwepo za dini yako/yenu, zinaweza kuwepo za jamii ya kitanzania kwa ujumla, zinaweza kuwepo za kabila lenu, zinaweza kuwepo za ukoo wenu, zinaweza kuwepo za familia yenu na mwishowe zinaweza kuwepo zako mwenyewe. Ukiacha hizo za kisheria, nyingine zote unaweza kuamua against them bila ya kushitakiwa mahakamani....kikubwa wanachoweza kufanya ni kukutenga tu! So, my point is mwamuzi wa hizo limits/limitations kwa sehemu kubwa ni wewe mwenyewe peke yako!Sory,wana JF.Kuoa kuna limiting age?Na kabila lina matter?Nataka nioe nikifikisha 35.Au nitakua nimezeeka?Msaada plz.thanx
yes........... buraza hapo umemaliza kila kitu..Muda mzuri wa kuoa ni pale unapojiona kuwa moyo wako unakushauri kufanya hivyo na pia una uwezo wa kukaa na mwenzi wako na kumhudumia na kusahau starehe zingine za ujanani.
hapo umeua kabisaaaa...Ni kwa neema ya Mungu tu.Hiyo hapo juu ktk enzi izi za ving'amuzi umri kama huo!ni mkiristu shka mwoyo!VRY INTERESTG.thumb up!
Wewe huoni kama huyo mwanaume ana matongo tongo bado alilala sana :cool2: